Umemaliza kuongea?Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.
Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.
Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.
“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”
“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.
Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
Watu wasitoe maoni yao, Tz tuna matatizo makubwa, ni nyinyi mnodhani watu wote wanapaswa kuwaza kama nyinyi ndio wenye matatizo, usijumlishe taifa.Mtoa mada labda anafanya dhihaka (sarcasm) ila kama anamaanisha alichoandika, basi Tanzania tuna matatizo makubwa kuliko tunavyodhani
Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.
Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.
Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.
“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”
“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.
Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
We kibwengu unawaza kuua watu tu pumbavuKiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.
Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.
Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.
“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”
“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.
Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
PopomaAskofu shoo anatumikia chama cha nyumbani kwao cha wanywa mbege
State agent
Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.
Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.
Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.
“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”
“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.
Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
[
hsdvdhrfvcvfchdv chhcfgrysifhfjdkfrhyf>
anayezuia mwingine asitoe maoni yake si mtoa mada? yaani askofu akitoa maoni serikali imkamate?Watu wasitoe maoni yao, Tz tuna matatizo makubwa, ni nyinyi mnodhani watu wote wanapaswa kuwaza kama nyinyi ndio wenye matatizo, usijumlishe taifa.
Inaonekana unafikiria kutumia tumbo. Umeona barua waliyoandika baraza la maaskofu wa kanisa katoliki nchini Uganda wakikemea vitendo katili vya serikali dhidi ya raia wake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekesha sana.Pale unapoona siku inaisha na buku saba inaenda kukupita unajikuta unaandika post ambayo hata wewe mwenyewe huielewi
Anaamliwa=Anaariwa..Unamaanisha masheikh au mashehena? Sheikh anaamliwa atii mamlaka na wala c mtu wa siasa ikiwa kiongozi hamzuii kufanya ibada, ushehe sio uanaharakati kazi hizo ni za makhaawarij kama isis, boko haram etc
Anaamliwa=Anaariwa..
Aisee.Ile barua imeandikwa kwa lugha ya malkia ni ngumu Meko, Bashite kuelewa mpk wamwite yule mkuu wa insta aliyekuwa mmbeba mabox huko Marekani............... vinginevyo hawataelewa chochote
sioni tatizo hapo,,,,baba askofu shoo yupo sahihi...Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema: