Serikali inakusudia kutoa Jira 52,436. Madaktari 258 Wa Kenya Kuanza Kazi Jumatatu

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,747
2017-04-22 15.08.06.png

2017-04-22 15.08.57.png
 
Kwa mwenyew akili timamu huwezi kushabikia maigizo haya!
Nani ambaye hajui lengo ipite tu bajeti ya wizara baada ya hapo kalenda ziendelee kama kawaida!
Juzi tu ummy mwalimu ametoka kukiri wizara yake haina pesa hata hao 258 hajui watalipwa nini!
Una akili za mbege sana mangi
 
hela za kulipa mishahara ziko wapi ikiwa za kuendesha ofisi tu hazipo? si usanii huu?
 
Back
Top Bottom