Serikali inajua hiki tunachofanyiwa na Halmashauri ya Wilaya Kibaha

Kaka fikiria upya biashara ya Mchanga fuso imekuwa kichaa, majuzi hapo kulikuwa na watu wa Maturubai, yaani alikuwa anapanda juu ya mchanga na anarukaruka, mchanga ukimwagika kidogo tu barabarani faini LAKI TANO (500,000) na gari linapelekwa yard Tamco, ukishindwa kulipa siku moja penalt inaongezeka

Maana hapo kuna SUMATRA, VIPIMO, MAPATO, TURUBAI, USALAMA, gari linahitaji service, dereva anahitaji posho, kila trip kuna 2000 ya Trafic na kila ijumaa kuna HESABU YA MEZA- Yaani kuna 5000 ya trafiki ambayo ni tofauti na 2000 ya kila siku, we mwenye gari utapata nini

Kama una pesa weka box body au Bomba peleka gari shamba

Mkuu umesahau yule wa kibamba uwa anakuja na kipikipiki chake ye uwa aachi kitu ata jero anabeba bado wa mbez kwa Yusuph wale wanadaka kuanzia 5000..
ila I swear to GOD dawa yao inachemka rais akishindwa kulishughulikia hili tutagawana majengo ya serikali Tumbi to segerea
 
Hahahaaa kaka acha kulalamika we jipapase utoe ya kufutia viatu hiyo 5000 kama ilivyoelekezwa na Kiongozi (ila alifanya utani usijaribu :p;)) ili maisha yako yaende powaa
 
Back
Top Bottom