Serikali inachowafanyia Wanachuo sio kitu kizuri

Serikali inachowafanyia Wanachuo sio kitu kizuri

jambo la kushukuru kidogo umewekewa .,, ila ni madahaifu ambayo yapo kwa mfumo wetu.. nakumbuka wakati namaliza diploma (ifm) matokeo yametoka na hela za kuomba mikopo tukalipishwa halafu majibu yakaja watu wote tulosoma diploma hakuna mikopo..wenzetu walotutangulia mbele yetu walibahatika na ndio walikuwa wa mwisho kupata mikopo tokea level ya diploma... tuliamua why walituruhusu tuombe na kuomba mkopo ni gharama?? ila tulivuka na tulisoma degree japo kwa nguvu nyingi na kuunga unga haswa sisi watoto wa familia za chini
Kwel kumshukuru Mungu mhim lakin issue ni hii tu mtu miaka miwili walikupa kiasi flani alafu sa hivi wanapunguza tu bila sababu na mtu umepiga zako matokeo yapo vizur kabisa Kama Sup hatujawahi hata ilamba
 
Duuh kweli dunia haina usawa wakati wengine wana lalamika hawaja pata mkopo kuna wengine wana lalamika wame pewa kidogo .wengine wana lalamika wame punguziwa mkopo wao teh teh teh
 
Jamani waambieni HESLB watoto wengi huko UDSM hawajapata mikopo wa first year.
Hapo DUCE dogo haelewi kama atapata
 
Jamani waambieni HESLB watoto wengi huko UDSM hawajapata mikopo wa first year.
Hapo DUCE dogo haelewi kama atapata
HESLB ni watu wabaya sana kuwahi tokea hapa duniani.. Watu tumesomeshwa kwa ufadhiri wa serikali kutokana na familia zetu masikini, elimu zetu zote mpaka tunaingia chuo.. Wazeeh wetu wapo hai Ila ni wazeeh/vikongee vithibitisho vyote tumeweke ila mikopo hatujapata hadi leo hii.. Wanataka so tukasome vpi Vila mikopo..?
Sio poa kabisa
 
Ipo hivi: unajua mtu mwaka wa kwanza na wapili ulipata allocation yako vizuri, sasa mwaka wa tatu huu unajiandaa kwenda chuo bado siku tatu unakuta ada imepunguzwa na hela za stationery nazo wamechukua, wanatarajia mtu atafanyaje kwa kipindi hiki kifupi hivi.

Na ukiangalia sioni sababu ya kupungua maana kama ni matokeo ni mazuri GPA ipo above 3.5 sasa tuseme hawana hela au ndio nini.

Wanajidai kusema kuwa wanaongeza kutoa mkopo kumbe kwa kupunguza zingine Ili wawape hao wanaoanza, daah! Hii hali sio nzuri, maisha utaona machungu na ukiangalia hamna unapotegemea zaidi ya hiyo boom nayo hata ukisema ulipie ada haitoshi kabisa.
Samahani mkuu.. Hivi kwenye account yako Projection ya mkopo kwa mwaka wako wa mwisho ilionyesha utapata nini na nini?
 
Samahani mkuu.. Hivi kwenye account yako Projection ya mkopo kwa mwaka wako wa mwisho ilionyesha utapata nini na nini?
Kwenye Account yangu hawajaweka hayo ni majina ambayo chuo kiliweka kwenye website yaliyotoka Heslb
 
Mpaka hapa nashindwa kuelewa hii Serikali Kama inasema ina hela why hata mambo Kama haya tu watusumbue
 
Hivyo
IMG-20201127-WA0025.jpg
 
Sorry mwenye uelewa hapa allocation yang kwa batch three inaonesha allocation kwa 2020-2021 kwahyo inamana hyo miaka mingne nitajilipia au inakuajee
 
Back
Top Bottom