Serikali inacheza drama za Mchanga; Sioni faida tutakayoipata zaidi ya sifa kwa siZonje

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Watu wamelishupalia hili Vila kujuwa kuwa wakubwa wenyewe wanatafuta popularity tu na suala litakavyokuja kumalizwa wananchi tutakuwa tumefaidi sifuri.

Hozi drama tu, wananchi endeleeni na shughuli zenu, madini ni yeti lakini wamiliki ni wazungu na wataendelea kumiliki miaka na miaka
 
Duuuu sultan ni balaa.. Muoga mnoo yaan mpaka aibu imekuwa sasa kwa watu wenye upeo Lakin..
 
This is purely drama..

Unatangaza kwa mbwembwe zote hizo kuhusu kupokewa kwa hiyo report maana yake ni kwamba wewe unaetaka tuonyeshwe live na kuhimiza watu watazame tayari una matokeo ya hii report..

It's a favoured one.

What happen ingekuwa haipendelei upande wako, je ingeonyeshwa live??

Don't play with people's mind.

Kuna mengi ya maana na msingi ya kuonyeshwa live like mjadala wa bajeti iliyosomwa last week and not this michanga issue.
 
Hapo ndio ujuwe inachezwa ngoma ya kigodoro
 
Watu wamelishupalia hili Vila kujuwa kuwa wakubwa wenyewe wanatafuta popularity tu na suala litakavyokuja kumalizwa wananchi tutakuwa tumefaidi sifuri.

Hozi drama tu, wananchi endeleeni na shughuli zenu, madini ni yeti lakini wamiliki ni wazungu na wataendelea kumiliki miaka na miaka
Kama wamefikia hatua ya kutangaza usiku wa manane watu waangalie TV kushuhudia mzee akipokea ripoti kweli kuna tatizo hatuna kiongozi Ila tuna walaghai na wahuni wanaowachezea wananchi kama vitenesi inakera sana natamani watanzania wote wajue haya ni maigizo na ni politician game ila bado wamelala.
 
Ndio hivo Mkuu,
 
Hakuna chochote cha maana katika ripoti hiyo. Ripoti ya pili imetumia the first rubbish report data kuonesha pesa tuliyoipoteza/kuibiwa. Kwa sababu imetumia data kutoka kwenye rubbish report lazima na yenyewe itakuwa rubbish. Siku zote gabbage in gabbage out.
 
Watu wamelishupalia hili Vila kujuwa kuwa wakubwa wenyewe wanatafuta popularity tu na suala litakavyokuja kumalizwa wananchi tutakuwa tumefaidi sifuri.

Hozi drama tu, wananchi endeleeni na shughuli zenu, madini ni yeti lakini wamiliki ni wazungu na wataendelea kumiliki miaka na miaka

True
 
Pigeni kelele mwageni machozi vunjeni ungo sisi tunasubiri ripoti ya makinikia. Kuambiwa ripoti inatoka leo ni kosa? So mlitaka tushtushwe tuu mkuu wa nchi anapokea ripoti? Mataifa ya mbele hamuoni yalivyoo? Lieni tuu mlishazoea kujipendeza kwa wazungu safari hii hakuna kitu. Magufuli Piga Kazi
 
Unaminya kurusha live bunge la bajeti unakuja na ngonjera za kuonesha report live?! Kwa akili za viongozi wetu hawa acha tu Kenya waendelee kuwa juu kwa kila kitu maana ujinga wetu ni wa kujitakia
 
Hakuna chochote cha maana katika ripoti hiyo. Ripoti ya pili imetumia the first rubbish report data kuonesha pesa tuliyoipoteza/kuibiwa. Kwa sababu imetumia data kutoka kwenye rubbish report lazima na yenyewe itakuwa rubbish. Siku zote gabbage in gabbage out.
Jinyooonge
 
Back
Top Bottom