Serikali ina mpango wowote wa kuja kujenga daraja Kitonga ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,877
Reaction score
111,025
Katika huo mpango wa CCM wa uchumi wa $ Trillion 1 kufikia mwaka 2050 wana mpango wowote wa kujenga daraja la barabara ya juu (viaduct) Kitonga au wataendelea na mbinu za kienyeji tu za kuchimba ukuta na police wa pikipiki.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Wachina wameweza kujenga Kitonga yao, Yaxi Highway ambayo ni km 240 kwa miaka mitano kwa $billion 3 tu sisi tunashindwa kujenga Kitonga yetu ambayo ni km 10 tu!
Your browser is not able to display this video.
 
Akili zenyewe za akina Makala, Chalamila, Mwashambwa, sahau
 
Akili zenyewe za akina Makala, Chalamila, Mwashambwa, sahau
CM 1774858 (Kafulila) tunashindwaje kujenga viaduct moja matata sana hapo Kitonga kwa PPP halafu tunasema tunaelekea uchumi wa $Trillioni 1 miaka 25 ijayo😁?
 
CM 1774858 (Kafulila) tunashindwaje kujenga viaduct moja matata sana hapo Kitonga kwa PPP halafu tunasema tunaelekea uchumi wa $Trillioni 1 miaka 25 ijayo😁?
Kitonga - Iringa
Nyang'oro - Iringa
Lushoto - Tanga
Chamanyama - Morogoro
Nyantuli - Katavi
Lukumburu - Ruvuma
Mlimanyoka - Mbeya
 
Kwa kweli hawa trafiki wa kitonga wanapiga kazi sana, Mungu awavariki nimewakuta mara kibao pale wanaongiza magari
 
Kitonga - Iringa
Nyang'oro - Iringa
Lushoto - Tanga
Chamanyama - Morogoro
Nyantuli - Katavi
Lukumburu - Ruvuma
Mlimanyoka - Mbeya
Kama tutaendelea kuwa na aina ya viongozi tulio nao inaweza kuchukua miaka 100 kuja kupata madaraja hayo maeneo 😁
 
Cape Town wametoboa mlima Hugenout kwa miaka kadhaa sisi bado tunawaza mlima kama ni kikwazo umasikini wa kufikiri na ujambazi ni hatari sana kwa Wananchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…