Jamani TUACHE UTANI KWENYE MAMBO YA MUHIMU. KUNA WATU WANAHASIRA NA BAHANUZI BALAA KWA KUKOSA PENALTY JANA.WANAWEZA KUMDHURU JAMAA KWA HIYO SERIKALI INA JUKUMU LA KULINDA WANANCHI WAKE!! NATOA HOJA.
Tutamkalia kikao kumjadili wakiwekwa bench wanalalamika wakipewa nafasi mchecheto kibao
yanga hatuna mambo hayo ya jabu tunajua mpira ukoje,hakukusudia kukosa so tutamsamehe bure kwenye penalty kuna mambo mawili kupata na kukosa,wanakosa akina ronaldo na ronaldinho na wanasamehewa itakuwa yeye!!!
mi nashauri wamuache huko huko,maana kiukweli m ndo mtu kwanza kuwa na hasira nae
Mi nashauri wamuache huko huko,maana kiukweli m ndo mtu kwanza kuwa na hasira nae
asamehewe kwa kosa gani?
kwa baadhi ya comment za wachangiaji wanafikiri kukosa penalty ni kosa kumbe ni moja ya matokeo ya mchezotu
by the way nia yake ilikuwa ni kufunga not otherwise.Watakuwa wanakosea sana. kwa namna alivyoipiga ile penati alidhamiria kufunga ila ikaenda nje. sometimes kuna kijiuzembe hutokea hasa kwa wale wanaotaka kupiga penati kwa madoido sana mara nyingi hukosa na kimsingi huwa wanakuwa wamrfanya uzembe kwani hata upigaji wa penati una principles zake
by the way nia yake ilikuwa ni kufunga not otherwise.
mlipofika nusu fainali mlipewa zawadi gani??Sie Simba tunashangailia tu, manake mkitaka kuvunja recodi yetu tuliyoweka kule Misri miaka kadhaa iliyopita tukatinga semis...So bora mmefungwa manake maneno yangezidi huku kitaa....Mukiuana mtajuana wenyewe, records zetu nje ya mataifa bado UNBREAKABLE.
Kaulize Benchi la ufundi. Manake hata records haujui maana yake.mlipofika nusu fainali mlipewa zawadi gani??
Kaulize Benchi la ufundi. Manake hata records haujui maana yake.