opportunist2012
Member
- Feb 8, 2012
- 92
- 8
Serikali lazima iingilie kati kukomesha tabia ya ubaguzi na upendeleo iliyoshamiri ktk idara ya elimu sekondari manispaa ya Bukoba. Afisa elimu sekondari pamoja na wakuu wa shule wamekuwa vinara wa kuwafanyia vitendo vya ubaguzi walimu wasio wazawa.
Mathalani katika shule ya sekondari Kahororo walimu wasio wazawa wanafanyiwa kila aina ya vibweka na wengi wao wanajuta kwa nini serikali imewapangia kufanya kazi Bukoba.Ubaguzi huu upo wazi wazi kwani walimu wasio wazawa wananyimwa haki zao nyingi.