Serikali imewapanga walimu Bukoba wawe muhanga wa ubaguzi?

Feb 8, 2012
92
8
Serikali lazima iingilie kati kukomesha tabia ya ubaguzi na upendeleo iliyoshamiri ktk idara ya elimu sekondari manispaa ya Bukoba. Afisa elimu sekondari pamoja na wakuu wa shule wamekuwa vinara wa kuwafanyia vitendo vya ubaguzi walimu wasio wazawa.

Mathalani katika shule ya sekondari Kahororo walimu wasio wazawa wanafanyiwa kila aina ya vibweka na wengi wao wanajuta kwa nini serikali imewapangia kufanya kazi Bukoba.Ubaguzi huu upo wazi wazi kwani walimu wasio wazawa wananyimwa haki zao nyingi.
 
hivi kwani ukinyimwa haki yako c unaipigania mpaka kieleweke. fight 4 ur right
 
Pole sana mdau!Kuna makabila mengine yaani ubaguzi ndiyo jadi yao!Wapo wengine wa kaskazini na wengine nyanda za juu kusini!Yaani wakishika ofisi hadi mfagizi ni wakwao tu!Ogopa sana haya makabila kama ukoma!!
 
Usipate shida mkuu,hata wenyewe wanabaguana. Miongoni mwao kuna Waziba,Wanyaihangiro,Bahyoza,Wahamba,Baendangabo,Wanyambo n.k ndani zaidi kuna koo za kitemi aka Abalangira na watwana....wewe chapa kazi achana nao hawana jipya. Enzi zao zimeisha wamebaki kama CUF.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom