KERO Serikali imetususia hii Barabara ya Mkonze - Dodoma Mjini?

KERO Serikali imetususia hii Barabara ya Mkonze - Dodoma Mjini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ubovu wa Barabara ya kutoka Mkonze Shule ya Msingi kwenda Mkonze Zahanati mpaka Mtaa wa Chinyika (Mkonze - Dodoma Mjini) unatia hasira unapopita hapo.

Hali ni mbaya mno hasa kipindi hiki cha mvua ni hakupitiki jamani tunaomba msaada kwa Serikali watuangalie tunakwama sana, gari za Watoto wa shule zinakwama pia.
 
Unatumia shule kama excuse?
Hakuna mkonze asili yake ni hiyo
 
Back
Top Bottom