Itapendeza zaidi ikisikika sauti toka kwa waziri wa elimu Ndalichako, Tamisemi Jafo, Utumishi na rais wa JMT sijui nani huko sitaki hata kumtaja jina!
Hii ni serikali ya ajabu kuwahi kutokea tangu tupate uhuru 9/12/1961, itakumbukwa vizuri tangu 2015 serkali awamu ya tano iliposhika madaraka tumeshuhudia mambo mengi ikiwa ni kupunguza watumishi wa umma na wengi wametokea kada ya elimu ambao ni walimu hasa wa masomo ya sanaa
Kinachoshangaza shule nyingi hazina walimu wa kutosha huku serikali ikijifanya hailioni tatizo la upungufu wa walimu katika shule hizi nyingi zikiwa za kata na zinapatikana huko vijijini ndani.
Napenda kuwakumbusha tu ninyi wenye dhamana ya kututoa huku mtaani bila kazi
Tumejaa sasa tupo batch 3, 2015, 16na 17!
Serikali mnampango gani na sisi graduate hasa walimu wa masomo ya arts?
Mbaya zaidi graduants wenyewe wamejichokea na kukata tamaa hata nyuzi zinazoistua serikali hapa jamvini ni nadra sana kuonekana!
Chondechonde tusikate tamaa tuungane tupambane tupewe ajira zetu
Nawakumbusha tupo