Mlamba mchuzi
Member
- Aug 14, 2017
- 52
- 124
Tuonyeshe mkataba wko na serikal ukmalza wakupe kaz
Nimekupata vizuri sana mkuu, ila concept yangu ilikuwa kwa aliye Soma masomo ya sanaa leo hii ukampe kuandaa mpango kazi wa kuendesha kampuni ambapo tunajua unapozungumzia Company automatically unazungumzia Science au Business fields. Kwa hiyo wa arts itamuwia vigumu kidogoYani KISWAHILI kinadhalaulika Sana ila tambueni kuwa ndio lugha yenu ya taifa....Kuna watu ni PhD holder lakini wapatie hicho kingereza uone vituko....sizungumzii ajira hapa mana watetezi wa hii serilikali watakutoa macho walivyo naroho mbaya...
Mkuu asilimia 80 ya watanzania ni wanafiki sanaSitaki hizo kampuni zenu! Hizi ni porojo na kejeri kwa wasomi huku mkiwa mnaelewa wazi elimu ya bongo iko vipi
Tunataka serikali itoe ajira
Kwahiyo kumbe serikali yetu ni maskini??,maana kwenye majukwaa uwa wanajitamba serikali yao ni tajiriNdio uhitaji ni mkubwa lkn Watawalipa nini?
Mnatakiwa mjiongeze buana acheni kulaumu kila kitu
Umesema kweli mkuuMsikate tamaa mtaajiriwa soon.Ila mkiajiriwa msianze kejeli kwa walimu wa Sayansi wenye vipindi vingi.walimu wa Sanaa kwa kejeli utakuta ana vipindi viwili kwa wiki anamkejeli mwenye vipindi 24 kuwa kwani nilikutuma usome sayansi? Una mavipindi mengi lakini mshahara sawa.