Wanaosema walimu wapo wengi sijui wamefanya utafiti wapi au wanaangalia mijini tu!?kama mnakumbuka wiki 3 zilizopita kuna wilaya ililalamika upungufu wa walimu zaidi ya 600 ikazuia uhamisho ktk wilaya hiyo sasa hiyo ni wilaya moja tu iliyojitokeza je wilaya zingine ambazo wakurugenzi wameshindwa kusema ukweli inakuaje?lazima utambue idaddi ya walimu aiwezi kutosha kutokana kila siku wanastaafu,vifo,kuacha,hivyo tukisema wametosha tutajidanganya tuwe wakweli na tusiwabeze wenzetu wanaotoa duku duku lao huku kwani wengi wanaosomea ualimu ni watoto wa maskini huo ndio ukweli kwahyo tegemeo lao kubwa ni kuajiriwa ili wapate mitaji na waweze kuhudumia jamii zao,mi nafikili serikakali wala wasingeangalia sana zile mil 50 bali wangejitahidi kuwapa hawa vijana ajira wangekua wamesaidia maskini wengi tena moja kwa .moja,tujiulize zile bilion za kikwete zipo wapi hadi sasa je maskini ameufaika?ila ninachoamini wakiwaajiri vijana wao watanufaika moja kwa moja hao maskini.