Serikali imeshindwa kuendesha TANESCO

Mbeya soweto wanekata dakika 5 zilizopta
unapojenga au kupanga nyumba hakikisha umekaa kwny line za Umeme zinazoelekea Hospital kuu, Kambi za jeshi, Ofisi za usalama wa Taifa, Maafisa waandamizi wa Serikali …

mie nilizingatia hilo na si kwa ujanja wangu bali kwa mapenzi yake Maulana …sometime hadi inabidi nami niigize na 'huku umekatika muda si mrefu …' ili tu watu wasihisi najipalilia …makazi yangu ya kawaida sana ila yapo maeneo ambayo umeme haukatiki kwa sababu za kijinga kijinga…hata hawa Wadudu panya road ambao wanasumbua lila Mtaa huku hawakatishi kwa kuwa yapo kwny ratiba za patrol za Serikali kila siku

nyie mnaotaka kujenga kwny eneo la heka moja mlime na bilinganya uwani …subirini wajukuu zenu wakizeeka ndio wata enjoy huduma bora maeneo hayo
 
Kwa huu ubabaishaji na tanesco Ina future plan ya kuuza umeme nchi jirani

Ila siamini kuwa umeme hautoshi Bali Kuna kitu hakipo sawa ikiwemo wenye mamlaka hii sio sawa , tunawaombeni muwajibike acheni kuwaonea walio chini. Msitengeneze matabaka ya raia kuichukua taasisi bure
 
Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba
Umeanzia vizuri mada yako lkn umeiharibu kwa kumchafua huyu waziri mchapa kazi. Unaonekana umetumwa na wahuni wenzio "*wale sukuma gang".

Sasa kwa taarifa yako Makamba haondoki hapo wizarani badala yake utaondoka wewe kwenye kundi linalomsakama Makamba
 
Acha wampe publicity

hata Ngoyai zile kashfa zilimpa umaarufu sana hadi ikabidi nguvu ya ziada kutumika kumzuia

Ni kama vile Chadema …zile kashfa zao kwa Zitto zimemfanya hadi leo aendelee kuwepo kwny midomo na mijadala ya kisiasa

ukitaka kumpoteza mtu acha kabisa kumuongelea au mlete wa kwako wa kuongelewa vyema

Chadema walimpotezea Dr Slaa na akapotea kweli wakati alikuwa na nguvu sana

Tofauti ya Jk na wasaka Urais wengine …yeye alitumia nguvu zaid kujitangaza na nguvu kiasi kuchafua wenzie …wenzie wakatumia nguvu kubwa kumchafua Yeye kuliko kujitangaza wao

Wahafidhina wa kisiwandui walitumia nguvu nyingi muda mrefu kusiliba kuwa Hussein sio Mzanzibari sijui hafai wakasahu Kumuandaa anaefaa wakati mwenzao anajipanga

enzi zetu ukimsalandia Mtoto mkalii Chuo marafiki zako wanakuzunguka kukuharibia lakini hawarushi proposal matokeo yake wanashangaa umeng'oa Mzigo kwa kuwa binti atakubali kubebwa hata na kimeo kwa kuwa aliebora hajitokezi
 
Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.

Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.

Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
Ninakubaliana nawe kuhusu ubovu wa Tanesco; lakini hicho unachokililia cha ubinafsishaji hukijui kabisa.
Lakini ngoja nikuulize swali, pamoja na kwamba nina hakika huna jibu lake.
Vipi, mbona hujalilia serikali yako ibinafsishwe, hivi unaona utendaji wake ni wa kiwango cha juu?

Anza kwanza kubinafsisisha kunakotokea na uozo, ikiwemo na huo wa Tanesco.
 
Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.

Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.

Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
Mama Samia, kamata January makamba na hold him accountable for this misery. Huyu kijana ni mpigaji na hana any plan ya kutatua tatizo la umeme hapa nchini, wengi huku mtaani wanasema hata wewe mwenyewe Mama unahusika na huu upigaji na ndiyo maana unamnyamazia huyu mwizi wa taifa.

cc: Mama Samia
 
Wewe ni Sukuma gang, kuona ukweli siyo rahisi
 
Mama Samia, kamata January makamba na hold him accountable for this misery. Huyu kijana ni mpigaji na hana any plan ya kutatua tatizo la umeme hapa nchini, wengi huku mtaani wanasema hata wewe mwenyewe Mama unahusika na huu upigaji na ndiyo maana unamnyamazia huyu mwizi wa taifa.

cc: Mama Samia
umeona mkuu
 
Umeme bongo ni anasa.Hilo fupa serikali ilishalishindwa wanalimumunya tu miaka nenda rudi.Ngoja tusubiri maji yajae ziwani.
 
Kwani waziri ndo anaendesha Tanesco?
Maji yakikatika afukuzwe waziri?
Mahindi yakipanda bei afukuzwe waziri??
 
Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.

Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.

Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
Tatizo Si Tanesco ni uongozi.

Badala ya kubadili uongozi na kuwawajibisha unashauri libinafsishwe?
 
Back
Top Bottom