unapojenga au kupanga nyumba hakikisha umekaa kwny line za Umeme zinazoelekea Hospital kuu, Kambi za jeshi, Ofisi za usalama wa Taifa, Maafisa waandamizi wa Serikali …Mbeya soweto wanekata dakika 5 zilizopta
mie nilizingatia hilo na si kwa ujanja wangu bali kwa mapenzi yake Maulana …sometime hadi inabidi nami niigize na 'huku umekatika muda si mrefu …' ili tu watu wasihisi najipalilia …makazi yangu ya kawaida sana ila yapo maeneo ambayo umeme haukatiki kwa sababu za kijinga kijinga…hata hawa Wadudu panya road ambao wanasumbua lila Mtaa huku hawakatishi kwa kuwa yapo kwny ratiba za patrol za Serikali kila siku
nyie mnaotaka kujenga kwny eneo la heka moja mlime na bilinganya uwani …subirini wajukuu zenu wakizeeka ndio wata enjoy huduma bora maeneo hayo