Serikali imelala: Mwananyamala wapanda migomba barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali imelala: Mwananyamala wapanda migomba barabarani

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, May 18, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,909
  Trophy Points: 280
  Bonge wa clouds fm akipanda mgomba barabarani kutokana na barabara kuwa na mashimo makubwa huku viongozi na wakubwa wa nchi wakipita hapo hapo kila siku ndani ya ma VX yao.
  blogger-image--2129199639.jpg
  michuzi;
   
 2. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  nchi ilishauzwa long time,hapo ni mwananyamala sasa huko kazuramimba itakuwa,uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,909
  Trophy Points: 280
  mita chache kutoka kwa kina riziwani sasa kweli huko namtumbo ..malampaka ..magongokuinuka kutakuwaje
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Haaahaaa! Haya bwana anatafuta kukamatwa na polisi
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,909
  Trophy Points: 280
  sijui kama watamuacha
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka kama sio Socrates basi mwanaphilosphia wa nchi za magharibi aliwai tembea na taa ya chemli mchana ili kuinquire how inqusitive people are.Naona bonge nae anataka waone haya wayazibe
  Yaani hayo mashimo kama mjamzito yuko kwa ambulance lazima atazaa
   
 7. gody

  gody JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  serikal si inataka miti ipndwe ea pmben
  sasa huyo kakosea nn?
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  angejenga kibanda cha kufugia kuku kabisa.
  OTIS
   
 9. P

  Popompo JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ukweli utabaki kuwa ukweli milele!jamaa amefanya kitendo cha kijasiri nampongeza sana!Tanzania tuna serikali ambayo inaongozwa na watu wasiojali ,hiyo ni njia ya kuwaambia imetosha.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,909
  Trophy Points: 280
  usishangae policeccm wakimsweka rumande
   
 11. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamasai wanapotembea na sime na rungu,,hata kwenye sherehe ,,,kuna ujumbe,,,,unapowasha taa mchana ukatembea nayo kuna ujumbe,,,,bint anapotembea na midoli ya watoto kuna ujumbe,,,,,,jamaa ni shujaa,,,,nimeipenda,,imetulia,,,,cdm wanapoweka mikono kichwani,,wakalia uwiiiiii kila inapotajwa ccm,,,yowe//////lukunga/////ni ujumbe,,,,,wahusika si sikivu,,ubunifu wote huo ni kutaka wasikie......jamaa tukikutana anidai dengelua yake,,,,safi sana:spy:
   
 12. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wakimkamata Bonge kwa kupanda mgomba hapo barabarani watakuwa hawana akili; yeye anawakumbusha wajibu wao wa kuzitenmgeneza barabara mapema na sio kungoja mpaka yawe mahandaki!!
   
 13. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo atakuwa ni mzibua mifereji anaweka huo mgomba kwa muda, ili asigongwe na daladala, hana vitendea kazi e.g, reflector.Big up ubunifu@work.
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kafanya jambo la maana sana huyu Bonge na siku si chacvhe utaona barabara hiyo inatengenezwa
   
 15. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda sana hii
   
 16. sister

  sister JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  eeh kumbe anamaanisha mimi nilijua anasema tu kupanda migomba kumbe anapanda kweli.
  kuna sehemu alisema atapanda mpunga na nyingine mchicha.
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,909
  Trophy Points: 280
  bora apande ili mashimo yasikae bure bure
   
 18. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana.bongo oyee.
   
 19. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna njia nyingi sana za amani za kuziamusha serikali legelege ili kutimiza wajibu waliopewa na wananchi . Hii ni njia moja wapo nzuri.
   
 20. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Na atakae kuja kuitoa ahakikishe anapatengeza, la sivyo, iachwe mpaka jamaa avune ndizi zake.
   
Loading...