SERIKALI imeahirisha ujenzi wa barabara ya Dar es Salaam hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 ya Expressway hadi miradi mingine ikamilike

Mimi huwa ninasema kuna makabila hayafai kutoa viongozi bali nyapala mfano ni kabila la huyu mpuuzi Mkuu wenu wa Kaya na mtoto wake bashite
 
Wazungu hawakuwa wajinga kuyafanya baadhi ya makabila manamba , walikuwa wanajua wanachofanya , we mbeba mizigo unampa kuwa rais , what do you expect ?

Iq zero
 
NYUMBA ZIMEBOMOLEWA NA HAKUNA FIDIA NA MRADI UMEKUFA, KWANINI TUNAWATESA WATU NAMNA HII.

View attachment 1093754View attachment 1093755

Serikali imesitisha Mradi wa Barabara 8 kutoka Dar mpaka Chalinze (Express way). Kwa maelezo ya Serikali ni kwamba, kusitishwa huko ni kutokana na uwepo wa miradi mingine ambayo mpaka kwwnza hiyo ikamilike.

Hoja hii ni dhaifu sana na ya kitoto kabisa. Kwamba Mradi wa Barabara kuu ambayo inahudumia Nchi nane za maziwa makuu, pamoja na miko yote ya Tanzania mpaka miradi mingine ikamilike??? Kwamba miradi mingine ipi yenye thamani kubwa kwenye tija ya uchumi kuliko barabara hii ambayo ni mpaka ikamilike? Na isipokamilika ndio kusema tutabakia na haya magofu kwa majira yote?

Kimsingi ni kwamba, Mradi huu wa Barabara hii ya Morogoro, kutoka Ubungo mpaka Chalinze kwa ujenzi wa njia nane, ulidhaminiwa tangu mwanzo kwa msaada wa Benki ya dunia, lakini Benki ya dunia ilijitoa baada ya mambo mawili ya msingi kufanyika na Rais na serikali hii ya wanyonge.

1. Kuwabomolea watu nyumba zao bilamkuwapa fidia na kwa baati mbaya, Rais alisisitiza tena kwamba hakuna fidia kwa ajili ya watu hao.
2. Zuio la Rais kwa watoto wa kike kurejea shule baada ya kujifungua kwa wale waliopta mimba wakiwa shuleni.

Hoja hizi ndio msingi wa Maamuzi ya Benki ya dunia kujiondoa kwenye fadhili wa mradi huo kwasababu ni kinyume na haki za binadamu na mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo Tanzania imesaini pamoja na ,mazingatio ya masharti ya kupata misaada na mikopo kutoka Benki ya dunia.

Baadae kidogo, kwasababu ya Kiburi cha Rais na kutotaka kuonekana kwamba amekosea, akaamua kukimbili mikopo mikubwa kutoka kwenye mabenki ya kibiashara ya nchi, yenye riba za kibiashara, ili apate fedha za kukamilisha mradi huo bado haikusaidia, akavamia fedha za umma na kukomba fedha za mashirika ya umma, bado haikusaidia, na mwishowe ni kuzuia kabisa maboresho ya wafanyakazi pamoja na huduma kadhaa za afya ili walau apate fedha za kufanya vitu vya kuonekana...hali ndio imekuwa mbaya...na deni la Taifa ndio hilo limefikia pabaya....uongozi ni maarifa.

Hoja hapa sio maendeleo, kila mmojawetu anapenda maendeleo, na hakuna anaepinga maendeleo, lkn hatuwezi kugeuza makundi kadhaa ya watu kama kinga ya kufikia maendeleo fulani. Haiwezekani, watu wanyimwe haki zao za kikatiba, waharibiwe maisha yao, waliohangaika kwa taabu tu kwasababu kuna kitu kinaitwa maendeleo, hapana, Maendeleo ya watu kwanza ndio maendeleo ya vitu, haya mambo huwezi kuyatenga.

Sasa tumeharibu maisha na biashara za watanzania, kwa kigezo cha ujenzi wa barabara na mwishowe, na barabara nayo imefikia tamati na tumebakiwa na uchafu tu. Jambo hili linahuzunisha sana, unyama waliofanyiwa watanzania hawa na mbaya zaidi hata hicho kitu chenyewe kimekufia njiani....

Yote haya ni matokeo ya uongozi wa kutafuta sifa, uongozi wa kutotaka kuonekana unakosea, uongozi wa kibabe, uongozi usiozingatia utu na sheria, utawalambora, huu ni uongozi usio tumia maarifa kwenye kuongoza.

A. Ndambo
Kama unafurahia mradi kukwama vile umeleta hoja kama unakisasi vile
 
Huu ni tofauti na hii barabara ya kimara-kibaha ya njia nane, huo ni ule mradi wa expressway ulikuwa uanzie bandarini,mbagala,chamazi,mbezi mpaka chalinze na ulikuwa uwe kwenye mfumo wa toll road, na PPP kati ya serikali na sekta binafsi. (fidia matayarisho gharama ni kubwa sana maana serikali ilitakiwa iandae eneo la barabara na kulipa fidia) hivyo kupanga ni kuchagua SGR,Stigglers,zahanati na vituo vya afya, brbr kasulu-kibondo , madaraja ya juu na chini nk. kipi cha muhimu??
Najiuliza tu! Hivi kuna ulazima kuwaacha hawa wapumbavu wakajifariji muda wote huu
 
Mkuu usidhani bashite alikosea alipotukana wachaga msibani juzi, ajenda kuu katika bomoabomoa ile ni kuwahujumu wachaga ambao wengi sana wanaishi pembezoni mwa hiyo barabara, sasa wamewabomolea lakini wakaona bado maisha yanakwenda, mtukufu inamuuma sana kuona kuna kabila lenye maendeleo ktk nchi anayotawala.Kule mwanza aliagiza wasibomolewe eti ndo walompigia kura, huu ni ubaguzi uliopindukia, na umejenga chuki kubwa sana miongoni mwa makabila.Mtukufu hana falsafa ya Upendo na kapungukiwa na:-
1. Hekima
2. Akili
3. Shauuri
4. Nguvu
5. Elimu
6. Ibada
7. Uchaji wa Mungu (Isaya 11:2)
Sasa anaposema tumuombee wakati anashindwa kushika amri kuu ya mungu ambayo ni UPENDO ni kumjaribu Mungu.
Aende ktk jimbo la mnyika akawaombe msamaha vinginevyo kanisa limtenge.
Ilimfaa asomee upadri kule wangemshape awe perfect kwenye eneo LA
: Public speaking and motivation,
: Moral decay ( utu,roho,nafsi,uhai,) , : Emotional and stress management : Team work management
: Social development
Ndugu yangu nasema na narudia kusema hakuna mradi utakaokamilika kama hatamrudia mungu na kuomba watanzania maskini msamaha kwa kuwatukana,kumwaga damu,kuvunja nyumba nk.
Miaka kumi ni laana tupu kwa taifa

YouTube waliobolewa walimlilia Mungu,wengine wakiapa Na tuone kama utafanikiwa.Maneno hayo yaliwaumiza sana wafadhili wakaamua kusitisha Pesa za mradi,Sheria za Bank ya Dunia haziruhusu kufadhili miradi yeyeto yenye machozi ya watu,( miradi yeyeto inayokiuka haki za binadamu) wakatoa masharti hawatoi pesa hadi wahanga walipwe fidia kwanza.
 
Tulisema sana kuhusu namna ya kutekeleza hii miradi tukaitwa sie mbuzi mawe sasa naona wamejionea wenyewe
cc: stroke na jingalao

Buku 7
Hapa uwaoni bado wanasikilizia maumivu ya dozi ya baba askofu imevuruga ng'ome kongwe wameanza kunena Kwa lugha.
 
Sikulaumu wewe Bali nawalaumu wazazi wako walioshindwa kutimiza wajibu wao wa malezi kwako,otherwise labda ututhibitishie kuwa wewe ni chokoraaaaa.
Ndo maana nasema we ni punguani vinginevyo uthibitishe kwa kuweka cheti cha daktari humu ku justfy kuwa syo punguani.
Watu wanavunjiwa eti kwa kuwa ni kutoka kanda flani ni wanaotoka huko kwakwe wasivunjiwe kwa sababu za kijinga jinga tu eti kura??? Halafu unatuletea uzuzu huku, IDIOT
 
NYUMBA ZIMEBOMOLEWA NA HAKUNA FIDIA NA MRADI UMEKUFA, KWANINI TUNAWATESA WATU NAMNA HII.

View attachment 1093754View attachment 1093755

Serikali imesitisha Mradi wa Barabara 8 kutoka Dar mpaka Chalinze (Express way). Kwa maelezo ya Serikali ni kwamba, kusitishwa huko ni kutokana na uwepo wa miradi mingine ambayo mpaka kwwnza hiyo ikamilike.

Hoja hii ni dhaifu sana na ya kitoto kabisa. Kwamba Mradi wa Barabara kuu ambayo inahudumia Nchi nane za maziwa makuu, pamoja na miko yote ya Tanzania mpaka miradi mingine ikamilike??? Kwamba miradi mingine ipi yenye thamani kubwa kwenye tija ya uchumi kuliko barabara hii ambayo ni mpaka ikamilike? Na isipokamilika ndio kusema tutabakia na haya magofu kwa majira yote?

Kimsingi ni kwamba, Mradi huu wa Barabara hii ya Morogoro, kutoka Ubungo mpaka Chalinze kwa ujenzi wa njia nane, ulidhaminiwa tangu mwanzo kwa msaada wa Benki ya dunia, lakini Benki ya dunia ilijitoa baada ya mambo mawili ya msingi kufanyika na Rais na serikali hii ya wanyonge.

1. Kuwabomolea watu nyumba zao bilamkuwapa fidia na kwa baati mbaya, Rais alisisitiza tena kwamba hakuna fidia kwa ajili ya watu hao.
2. Zuio la Rais kwa watoto wa kike kurejea shule baada ya kujifungua kwa wale waliopta mimba wakiwa shuleni.

Hoja hizi ndio msingi wa Maamuzi ya Benki ya dunia kujiondoa kwenye fadhili wa mradi huo kwasababu ni kinyume na haki za binadamu na mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo Tanzania imesaini pamoja na ,mazingatio ya masharti ya kupata misaada na mikopo kutoka Benki ya dunia.

Baadae kidogo, kwasababu ya Kiburi cha Rais na kutotaka kuonekana kwamba amekosea, akaamua kukimbili mikopo mikubwa kutoka kwenye mabenki ya kibiashara ya nchi, yenye riba za kibiashara, ili apate fedha za kukamilisha mradi huo bado haikusaidia, akavamia fedha za umma na kukomba fedha za mashirika ya umma, bado haikusaidia, na mwishowe ni kuzuia kabisa maboresho ya wafanyakazi pamoja na huduma kadhaa za afya ili walau apate fedha za kufanya vitu vya kuonekana...hali ndio imekuwa mbaya...na deni la Taifa ndio hilo limefikia pabaya....uongozi ni maarifa.

Hoja hapa sio maendeleo, kila mmojawetu anapenda maendeleo, na hakuna anaepinga maendeleo, lkn hatuwezi kugeuza makundi kadhaa ya watu kama kinga ya kufikia maendeleo fulani. Haiwezekani, watu wanyimwe haki zao za kikatiba, waharibiwe maisha yao, waliohangaika kwa taabu tu kwasababu kuna kitu kinaitwa maendeleo, hapana, Maendeleo ya watu kwanza ndio maendeleo ya vitu, haya mambo huwezi kuyatenga.

Sasa tumeharibu maisha na biashara za watanzania, kwa kigezo cha ujenzi wa barabara na mwishowe, na barabara nayo imefikia tamati na tumebakiwa na uchafu tu. Jambo hili linahuzunisha sana, unyama waliofanyiwa watanzania hawa na mbaya zaidi hata hicho kitu chenyewe kimekufia njiani....

Yote haya ni matokeo ya uongozi wa kutafuta sifa, uongozi wa kutotaka kuonekana unakosea, uongozi wa kibabe, uongozi usiozingatia utu na sheria, utawalambora, huu ni uongozi usio tumia maarifa kwenye kuongoza.

A. Ndambo
unprecedented one-term presidency!
 
Nafikiri uliositishwa sio mradi wa Kimara-Kibaha. Ni ule ambao ungetoka Chalinze kupitia huku luguruni Hadi Kurasini/bandarini
 
Acha uongo wewe! Huoni aibu kusema uongo humu!?

Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Izack Kamwelwe amelieleza bunge kuwa Serikali imeahirisha ujenzi wa barabara kutoka DSM hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 hadi miradi mingine inayoendelea itakapokamilika. Barabara hiyo ilikuwa inajengwa kwa kiwango cha expressway #KwanzaHabari

Mkuu johnthebaptist hajapotosha wala sijamwita nyumbu.
John kaomba ufafanuzi na kapatiwa ila kuna wazee wa Ufipa wamedandia ili kuikandika serikali wakati hawana data hao ndio nmewaita nyumbu.
 
Ulichoandika si kweli. Ujenzi haukuahirishwa kwa sababu ya mvua bali ukosefu wa pesa.

Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Izack Kamwelwe amelieleza bunge kuwa Serikali imeahirisha ujenzi wa barabara kutoka DSM hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 hadi miradi mingine inayoendelea itakapokamilika. Barabara hiyo ilikuwa inajengwa kwa kiwango cha expressway #KwanzaHabari

Johana-mbatizaji muda mwingine unapenda kukurupuka na taarifa nusunusu....
Ujenzi umeahirishwa Kwa ajili ya mvua na si vinginevyo kutokana na mamlaka ya hali ya hewa walivyosema kuhusu mvua ndio maana ujenzi umesimama Kwa muda Tu Hadi pale mvua zitakapokoma.

Asanteniii
 
Back
Top Bottom