Nyumba ya kawaida kodi ilikuwa tunalipa 10000/
Sasa kwa sahv itakuwaje,itazidi hiyo 10000/
Ova
Sasa hivi ni 12000/=Nyumba ya kawaida kodi ilikuwa tunalipa 10000/
Sasa kwa sahv itakuwaje,itazidi hiyo 10000/
Ova
Kaingia na maovyo ovyo mengi sana hayana manti yaan ni ya kulazimisha wananchi tuUkweli mama kanitoka moyoni kbs sijapenda hata kdg.
Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Wacha waisome namba eeeeeeeeh! Mliichagua wenyewe!