CCM oyeee!!!!!
Serikali gani mnayoizungumzia hapa?Nijuavyo mimi Tanzania hakuna serikali ila genge la walanguzi wa madaraka na waamrisha polisi kuua ili kuwazima watu midomo!Kuna serikali yoyote Duniani inayoweza kuwa haina mitaala ya Elimu?Inaibia pesa za watu wake yenyewe?Inaibiwa wanyama hai mbugani?ooh Mjomba nhaule kanhyi vyono ukubwabwa nkhani swanuswanu ntavivyo!!!Kaah unamahala mzelelo..Mbukwenyi alee????Sio siri tena kwani watumishi wa umma huwa wanalipwa mishahara tarehe arobaini na ngapi? waulize then utajua au kama vipi piga story za kitaa na jamaa wa hazina, hakuna cha epicol wala makolombwezo
priority -- tunajenga mji mpya wa kisasa Kigamboni 12trilion.Wadau wakati huu halmashauri zote nchini zipo Dar es salaam kuwasilisha mipango ya bajeti ya 2013/14 lakini cha ajabu ni kwamba fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa mwaka 2012/13 hazijaletwa wilayani hata senti moja yaani tunaandaa bajeti mpya wakati iliyopita haijatekelezwa na hii ni robo ya tatu ya mwaka wa fedha nashangaa sana alafu waziri wa fedha anajinadi bungeni kuwa uchumi unakwenda vizuri......kwa kweli tunaelekea kubaya wananchi wenzangu
kwasababu katiba haitamki sasa hii ijayo basi iseme mishahara iwe ni ndani ya siku30 ..kama ni tar26jan na fbr isizid26
Wadau wakati huu halmashauri zote nchini zipo Dar es salaam kuwasilisha mipango ya bajeti ya 2013/14 lakini cha ajabu ni kwamba fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa mwaka 2012/13 hazijaletwa wilayani hata senti moja yaani tunaandaa bajeti mpya wakati iliyopita haijatekelezwa na hii ni robo ya tatu ya mwaka wa fedha nashangaa sana alafu waziri wa fedha anajinadi bungeni kuwa uchumi unakwenda vizuri......kwa kweli tunaelekea kubaya wananchi wenzangu