Serikali ijifunze kukopa na kuwekeza

Serikali ijifunze kukopa na kuwekeza

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,366
Reaction score
7,239
Nimesikitika sana kuona mwananchi wa tanzania anajieleza kwenye vyombo vya habari anakunywa uji uliowekwa chumvi. Wito wangu kwa serikali ambayo ndio Baba ijisikiye aibu kidogo na kujifunza kukopa na kuwekeza kwa malengo kama wenzetu siyo unakopa unajenga likitu la kupigia picha mabwana harusi.

Sugar Mill Project,.png
 
Siasa imeingia kwenye uchumi. Mfumo wa ujamaa haujawahi leta tija popote duniani. Hivo ngoja huu ukomunist upite kwanza ndipo ulete hoja za maendeleo
 
Siasa imeingia kwenye uchumi. Mfumo wa ujamaa haujawahi leta tija popote duniani. Hivo ngoja huu ukomunist upite kwanza ndipo ulete hoja za maendeleo
Nashangaa ujamaa ambao lengo lake lilikuwa kuwabana watu wa kaskazini bado mfumo huu tunao. Ndio maana hatuendelei.
 
Back
Top Bottom