Serikali igeni mfano, fungeni tovuti zote za ngono nchini

Dah huu uzi una page tatu tu ? Ila ingekuwa opposite basi ungekuta ni page ya 40 huku wadau wakitupia vipicha kunogesha

Mimi mwenyewe nilikuwa teja wa pono ila nimeshaacha
 
huh.. wafungie porn, kuwanusuru vijana, ili?

mambo mengine muyaachage tu jinsi yalivyo.... iacheni dunia iende jinsi ilivyo.

pambaneni na ufisadi, sio porno.

maajabu!!

:eek:
 
Hapo sawa mkuu wakubwa nao waliangalie hili ndio limekuwa janga kubwa kwa vijana.
....
 
Serikali ya Uingereza tayari wameshapitisha sheria ya censorship, wanafungia websites zote za porn.

Hatua hiyo imekuja Mara baada ya tafiti kugundua vijana wenye umri Kati ya miaka 11-18 ndio walioathirika zaidi. Serikali ya Uingereza kwa kujali hatma na muelekeo wa vijana wao tayari washapitisha sheria hiyo.

Nachukua fursa hii kuishauri serikali iingize mswada huu bungeni ili sheria ya censorship ipitishwe. Waathirika wakubwa ni vijana/wanafunzi. Vijana/wanafunzi wakiharibika taifa limeharibika.

Madhara ya porn yapo mengi;

1. Vijana wengi wanaathirika kisaikolojia na wengi wameshaharibika, mtu anayetizama porn sana akili yake hudumaa na hata capacity ya kuelewa/IQ yake hupungua.

2. Punyeto kwa vijana wengi.

3. Upotezaji wa muda.

4. Wenye kuangalia porn sana tafiti zinaonyesha ndoa zao hazidumu.

N.k.

Yapo madhara mengi; kiakili, kitabia, saikolojia na kadhalika.
Unataka chabo zirudi tena wewe si bureee
 
watakuelewa?
Mkuu! labda ungezungumzia ndoa za chini ya miaka 18. ndoa za utotoni si mzur

Ila ilo linalohusu kujenga maadili, mmh sijui ngoja waje
 
Ukitaka Kujua Ya Kwamba Watanzania Wengi Ni Wachawi Angalia Hata Thread Wanazozianzisha.
 
Serikali ya Uingereza tayari wameshapitisha sheria ya censorship, wanafungia websites zote za porn.

Hatua hiyo imekuja Mara baada ya tafiti kugundua vijana wenye umri Kati ya miaka 11-18 ndio walioathirika zaidi. Serikali ya Uingereza kwa kujali hatma na muelekeo wa vijana wao tayari washapitisha sheria hiyo.

Nachukua fursa hii kuishauri serikali iingize mswada huu bungeni ili sheria ya censorship ipitishwe. Waathirika wakubwa ni vijana/wanafunzi. Vijana/wanafunzi wakiharibika taifa limeharibika.

Madhara ya porn yapo mengi;

1. Vijana wengi wanaathirika kisaikolojia na wengi wameshaharibika, mtu anayetizama porn sana akili yake hudumaa na hata capacity ya kuelewa/IQ yake hupungua.

2. Punyeto kwa vijana wengi.

3. Upotezaji wa muda.

4. Wenye kuangalia porn sana tafiti zinaonyesha ndoa zao hazidumu.

N.k.

Yapo madhara mengi; kiakili, kitabia, saikolojia na kadhalika.
Wanazuia mitandao ya ngono halafu wanaruhusu ushoga na usagaji then unakuja kuwatumia hapa kama reference hivi are we serious kweli watanzania......
 
Back
Top Bottom