Pongezi kwa serikali kwa kufungia tovuti za ngono ila bado zipo nyingi tu zifungiwe zote

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,869
Niipongeze serikali ya kwa hili la kufungia tovuti za ngono

Ningeomba Tcra waendelee kuchanja mbuga bado kuna vitovuti vingi mmeviacha natamani na nipo tayari kutoa ushirikiano wa kuzianisha zifungiwe

Zinatakiwa zifungiwe zote na baada ya hapo ianze kampeni ya safisha safisha ya video za ngono iwe ni kosa la jinai na adhabu kali

Tusipoangamiza hili tatizo vizazi vyetu vitakuja kuumia zaidi

Hatuwezi kuwa na taifa la mapornstar au waangalia ngono kwanza mabando yanaishia huko

Madhara ya hizo porn ni

1.Zinahamasisha ushoga na usagaji

2.Zinahamasisha ulawiti

3.Zinahamasisha ubakaji

4.Zinahamasisha ngono na watoto wadogo under 18

5.Zinahamasisha na kusababisha tatizo la nguvu za kiume kupitia punyeto

6.Zinaharibu watu saikolojia

7.Zinashusha utu wa mtu

8.Zinashusha thamani ya mwanamke

9.Zinapoteza mida wa watu kuwa busy badala ya kufanya kazi

10.Zinaleta hasara za kiuchumi mfano kumaliza mabando

11.Zinaleta uraibu wa kudumu yaani permanent addiction.

12.Zinaharibu maadili ya watu na kuleta maadili mabovu kupromote tabia za kishenzi

13.Zinaongeza uasi wa kiroho na kuharibu tamaduni na mila

Zipigwe marufuku na vita kwa nguvu zote.......
 
Hawawezi kufungia zote, sites zipo nyingi sana. Leo tu nimejaribu kuingia sites Kama 10 na zinafunguka.
Pia ukiweka VPN zoote unapata
Hao wanaofungia hizi porn sites wana dhambi nyingi tu kuliko hata wanaoangalia
 
Niipongeze serikali ya kwa hili la kufungia tovuti za ngono

Ningeomba Tcra waendelee kuchanja mbuga bado kuna vitovuti vingi mmeviacha natamani na nipo tayari kutoa ushirikiano wa kuzianisha zifungiwe

Zinatakiwa zifungiwe zote na baada ya hapo ianze kampeni ya safisha safisha ya video za ngono iwe ni kosa la jinai na adhabu kali

Tusipoangamiza hili tatizo vizazi vyetu vitakuja kuumia zaidi

Hatuwezi kuwa na taifa la mapornstar au waangalia ngono kwanza mabando yanaishia huko

Madhara ya hizo porn ni

1.Zinahamasisha ushoga na usagaji

2.Zinahamasisha ulawiti

3.Zinahamasisha ubakaji

4.Zinahamasisha ngono na watoto wadogo under 18

5.Zinahamasisha na kusababisha tatizo la nguvu za kiume kupitia punyeto

6.Zinaharibu watu saikolojia

7.Zinashusha utu wa mtu

8.Zinashusha thamani ya mwanamke

9.Zinapoteza mida wa watu kuwa busy badala ya kufanya kazi

10.Zinaleta hasara za kiuchumi mfano kumaliza mabando

11.Zinaleta uraibu wa kudumu yaani permanent addiction.

12.Zinaharibu maadili ya watu na kuleta maadili mabovu kupromote tabia za kishenzi

13.Zinaongeza uasi wa kiroho na kuharibu tamaduni na mila

Zipigwe marufuku na vita kwa nguvu zote.......
Hivi zimefungiwa kumbe. Ninatumia tor browzer hainaga mpinzani. Nazipata kama kawa. Walishachelewa
 
Serikali za kidikteta haziwezi kushindana na Technology.

zinashusha na samani ya mwanaume pia, alafu izo tovuti mbona mimi kwangu fresh nacheki tu au tcra wamefungia kwenye sim yako pekee
 
Acha watu wapate pakupunguzia stress za maisha.Mambo mengine huna haja yakuyakomalia sana maana hakuna jipya duniani.Enzi za sodoma na gomora hakukua na internet ila ufuska ulikua wa kiwango chakutisha kuliko leo.Sasa jiulize toka enzi za sodoma hadi leo dunia imepita miaka mingapi.Wote tungekua na akili zakufanana maisha yasingekua hivi yalivyo.Acha kufanya maisha yawe magumu zaidi ya hivi yalivyo.
 
Mungu ibariki Serikali ya Mama Samia pamoja na waziri wake Ndugulile kwa kurekebisha maadili.
safi sana kwa hatua hii nzuri ya kufungia websites za ngono na uchafu wote. sasa fuatilieni na maeneo mengine ambayo Maudhui yake ni ya kingono. watanzania walikuwa wamedumaa akili kwa kuwaza ngono tu, badala ya kuwaza maendeleo wao ni kungonoka tu.
afadhali sasa angalau watafanya kazi kwa maarifa na bidii.
Vijana kwa wazee waliathirika na mitandao ya ngono, mbaya zaidi watoto nao walikuwa wanapotea siku baada ya siku kwa kuangalia sites za ngono.
 
Niipongeze serikali ya kwa hili la kufungia tovuti za ngono

Ningeomba Tcra waendelee kuchanja mbuga bado kuna vitovuti vingi mmeviacha natamani na nipo tayari kutoa ushirikiano wa kuzianisha zifungiwe

Zinatakiwa zifungiwe zote na baada ya hapo ianze kampeni ya safisha safisha ya video za ngono iwe ni kosa la jinai na adhabu kali

Tusipoangamiza hili tatizo vizazi vyetu vitakuja kuumia zaidi

Hatuwezi kuwa na taifa la mapornstar au waangalia ngono kwanza mabando yanaishia huko

Madhara ya hizo porn ni

1.Zinahamasisha ushoga na usagaji

2.Zinahamasisha ulawiti

3.Zinahamasisha ubakaji

4.Zinahamasisha ngono na watoto wadogo under 18

5.Zinahamasisha na kusababisha tatizo la nguvu za kiume kupitia punyeto

6.Zinaharibu watu saikolojia

7.Zinashusha utu wa mtu

8.Zinashusha thamani ya mwanamke

9.Zinapoteza mida wa watu kuwa busy badala ya kufanya kazi

10.Zinaleta hasara za kiuchumi mfano kumaliza mabando

11.Zinaleta uraibu wa kudumu yaani permanent addiction.

12.Zinaharibu maadili ya watu na kuleta maadili mabovu kupromote tabia za kishenzi

13.Zinaongeza uasi wa kiroho na kuharibu tamaduni na mila

Zipigwe marufuku na vita kwa nguvu zote.......
Naona umeamua kupambana na teknolojia

Unachekesha lakini

Wafunge wasifunge mie nakula vitu bongo certified 100% telegram
 
Niipongeze serikali ya kwa hili la kufungia tovuti za ngono

Ningeomba Tcra waendelee kuchanja mbuga bado kuna vitovuti vingi mmeviacha natamani na nipo tayari kutoa ushirikiano wa kuzianisha zifungiwe

Zinatakiwa zifungiwe zote na baada ya hapo ianze kampeni ya safisha safisha ya video za ngono iwe ni kosa la jinai na adhabu kali

Tusipoangamiza hili tatizo vizazi vyetu vitakuja kuumia zaidi

Hatuwezi kuwa na taifa la mapornstar au waangalia ngono kwanza mabando yanaishia huko

Madhara ya hizo porn ni

1.Zinahamasisha ushoga na usagaji

2.Zinahamasisha ulawiti

3.Zinahamasisha ubakaji

4.Zinahamasisha ngono na watoto wadogo under 18

5.Zinahamasisha na kusababisha tatizo la nguvu za kiume kupitia punyeto

6.Zinaharibu watu saikolojia

7.Zinashusha utu wa mtu

8.Zinashusha thamani ya mwanamke

9.Zinapoteza mida wa watu kuwa busy badala ya kufanya kazi

10.Zinaleta hasara za kiuchumi mfano kumaliza mabando

11.Zinaleta uraibu wa kudumu yaani permanent addiction.

12.Zinaharibu maadili ya watu na kuleta maadili mabovu kupromote tabia za kishenzi

13.Zinaongeza uasi wa kiroho na kuharibu tamaduni na mila

Zipigwe marufuku na vita kwa nguvu zote.......
Umeeleza kwa ufasaha sana.Kiswahili kizuri,kinachoeleweka.
 
Acha watu wapate pakupunguzia stress za maisha.Mambo mengine huna haja yakuyakomalia sana maana hakuna jipya duniani.Enzi za sodoma na gomora hakukua na internet ila ufuska ulikua wa kiwango chakutisha kuliko leo.Sasa jiulize toka enzi za sodoma hadi leo dunia imepita miaka mingapi.Wote tungekua na akili zakufanana maisha yasingekua hivi yalivyo.Acha kufanya maisha yawe magumu zaidi ya hivi yalivyo.
yaani uzi wa mkuu umeniuzi kinoma.....
 
Back
Top Bottom