Serikali ifikirie sera ya kiwanda cha kata.......

Serikali ifikirie sera ya kiwanda cha kata.......

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,362
Ni mawazo tu jamani nafikiri baada ya sera ya shule za kata ni muda sasa kufikiria viwanda vya kata ili
kupunguza tatizo la ajira ,uzuraji ,ukuaji wa majiji usiokua na tija ,matumizi ya madawa ya kulevya na
mambo mengine ya aina hiyo.

ni wazo tu nawasilisha
 
Wazo zuri sana mkuu harakati. Ila nadhani wewe sio mgeni sana wa Tanzania so unajua jinsi hiki kitu ilivyo ngumu.

Kama wameshindwa kuleta huduma za jamii kama zahanati na maji safi kwa wanakata, unadhani wataweza kweli kiwanda?

Ok. Nisiweke mawazo -ve sana. Mkuu, unadhani viwanda gani tunaweza kuanza navyo? Maana nchi yetu ina malighafi nyingi saa na ina wataalamu wengi pia sema hawana uzoefu tu.
 
Last edited by a moderator:
hili linawezekana lakini mwanzo wake ni kubadili fikra kwanza za watanzania
viongozi wenyewe sio mfano mzuri wa kuonyesaha ufanyaji kazi wanakua mfano mzuri wa wizi wa fedha za umma
ndio maana hata vijana wengi tumebaki tukifikiria fedha ya haraka badala ya kazi kwanza
Angalia kama SUKITA ulikua mradi mzuri sana ambao uliwapa vijana ajira pale kigogo,tabata ,buguruni na sehemu nyingine ni moja ya kiwanda cha kuzalishia kuku,ng'ombe wa maziwa na nguruwe ila waliufilisi .
turudi huku na si vinginevyo.
 
wazo zuri sana,ila angekuwepo nyerere angekusikiliza.ila hii ndio njia ya kujikomboa.
 
sasa SECRET SERVICE umeshauli nini au umebwatuka tu sijaona mawazo uliyo ya toa hapo bora unge nyamaza kama sisi maana mtoa mada unazidi kumfanyaasirudi tena humu kama ni elimu una yakuungaunga au kama ni kompyuta si yako au niya kampuni angalia usije ukatufukuzia wenye mawazo yao humu.
 
Back
Top Bottom