Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,227
- 2,197
Wacha watu wapige kaziLigi ya Ujerumani inarejea kuanzia kesho tar.16 May. Vijana wengi wa vyuo na sekondari wapo nyumbani na wamemic sn kubet.
Kurejea kwa ligi ya Ujerumani kunaweza kuwafanya kuvamia na kujazana kwenye vibanda vya Kubetia. Nashauri serikali iingilie kati kudhibiti hali hii la sivyo maeneo haya yanaweza kuwa mahali pa watu wengi kuambukizwa Corona. Watu wabeti kupitia simu zao tu!
Mtanisamehe wazee kubet sina lengo la kuwachomea lakini Afya kwanza haya mengine yapo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha watu wajipatie pesa za mdosiHivi betting ni ujinga gani??
Upuuzi mtupu utopolo Huo
Wanao bet wapimwe akili
Wapigwe Fimbo hatutak mikusanyiko
Wapigweeeee........ Haooo.......
Wapigweeeee........ Haooo.......
Sent by IPhone
Nmewafanyia fujo inayoumiza. Always truth hurts. Tusameheane wakuuHvi mbona unatuvunjia heshima yetu sisi wanavyuo tena wasomi na viongozi was kesho..
Yaan umetuona ss ndo tunabet saaaana..!!!
Sio poa hvyo
Sie na betpawa, premiere bet n.kNmewafanyia fujo inayoumiza. Always truth hurts. Tusameheane wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi betting ni ujinga gani??
Upuuzi mtupu utopolo Huo
Wanao bet wapimwe akili
Wapigwe Fimbo hatutak mikusanyiko
Wapigweeeee........ Haooo.......
Wapigweeeee........ Haooo.......
Sent by IPhone
Huo ni wivu, kubeti kunaingiza pato kwa taifa na ni mfumo wa kuwapatia vijana wengi kipato hasa kwa kipindi hiki kigumu, kama bar hazijafungwa na vibanda vya kubeti visifungwe.Ligi ya Ujerumani inarejea kuanzia kesho tar.16 May. Vijana wengi wa vyuo na sekondari wapo nyumbani na wamemic sn kubet.
Kurejea kwa ligi ya Ujerumani kunaweza kuwafanya kuvamia na kujazana kwenye vibanda vya Kubetia. Nashauri serikali iingilie kati kudhibiti hali hii la sivyo maeneo haya yanaweza kuwa mahali pa watu wengi kuambukizwa Corona. Watu wabeti kupitia simu zao tu!
Mtanisamehe wazee kubet sina lengo la kuwachomea lakini Afya kwanza haya mengine yapo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
fanya hivi naona huna pesa ya sikukuu weweLigi ya Ujerumani inarejea kuanzia kesho tar.16 May. Vijana wengi wa vyuo na sekondari wapo nyumbani na wamemic sn kubet.
Kurejea kwa ligi ya Ujerumani kunaweza kuwafanya kuvamia na kujazana kwenye vibanda vya Kubetia. Nashauri serikali iingilie kati kudhibiti hali hii la sivyo maeneo haya yanaweza kuwa mahali pa watu wengi kuambukizwa Corona. Watu wabeti kupitia simu zao tu!
Mtanisamehe wazee kubet sina lengo la kuwachomea lakini Afya kwanza haya mengine yapo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuuAsante kwa taarifangoja nitandike jamvi kabla ya ODDS hazijabadilika.ACHA WIVU MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app