Serikali idhibiti vibanda vya Kubet kuanzia kesho

Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
515
1,000
Ligi ya Ujerumani inarejea kuanzia kesho tar.16 May. Vijana wengi wa vyuo na sekondari wapo nyumbani na wamemic sn kubet.

Kurejea kwa ligi ya Ujerumani kunaweza kuwafanya kuvamia na kujazana kwenye vibanda vya Kubetia. Nashauri serikali iingilie kati kudhibiti hali hii la sivyo maeneo haya yanaweza kuwa mahali pa watu wengi kuambukizwa Corona. Watu wabeti kupitia simu zao tu!

Mtanisamehe wazee kubet sina lengo la kuwachomea lakini Afya kwanza haya mengine yapo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
925

Wacha watu wapige kazi

kama umeshiba pesa kaa ndani kwako
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,231
2,000
Ligi ya Ujerumani inarejea kuanzia kesho tar.16 May. Vijana wengi wa vyuo na sekondari wapo nyumbani na wamemic sn kubet.

Kurejea kwa ligi ya Ujerumani kunaweza kuwafanya kuvamia na kujazana kwenye vibanda vya Kubetia. Nashauri serikali iingilie kati kudhibiti hali hii la sivyo maeneo haya yanaweza kuwa mahali pa watu wengi kuambukizwa Corona. Watu wabeti kupitia simu zao tu!

Mtanisamehe wazee kubet sina lengo la kuwachomea lakini Afya kwanza haya mengine yapo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni wivu, kubeti kunaingiza pato kwa taifa na ni mfumo wa kuwapatia vijana wengi kipato hasa kwa kipindi hiki kigumu, kama bar hazijafungwa na vibanda vya kubeti visifungwe.
 
moyes

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,780
2,000
Ligi ya Ujerumani inarejea kuanzia kesho tar.16 May. Vijana wengi wa vyuo na sekondari wapo nyumbani na wamemic sn kubet.

Kurejea kwa ligi ya Ujerumani kunaweza kuwafanya kuvamia na kujazana kwenye vibanda vya Kubetia. Nashauri serikali iingilie kati kudhibiti hali hii la sivyo maeneo haya yanaweza kuwa mahali pa watu wengi kuambukizwa Corona. Watu wabeti kupitia simu zao tu!

Mtanisamehe wazee kubet sina lengo la kuwachomea lakini Afya kwanza haya mengine yapo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
fanya hivi naona huna pesa ya sikukuu wewe
chukua ten lako weka hivi kisha urud kunishukuru kesho jioni

Borussia Dort win either half or totals over 1.5
RB Leipgz win or totals over 2.5
Hoffenheim over totals over 1.5
Bate win or draw & over 1.5

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
715
1,000
wale wa kubeti, mechi za mwamzo zitakuwa nyingi droo,au kufungana kwa magori machace Sana yaani 0-1 ,1-1. hi inatokana na kuwa wachezaji wore wapo fit hawajachoka, hata wale wenye vikosi vya wachezaji wwchache wataweza kupambana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom