Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,227
- 2,197
Ligi ya Ujerumani inarejea kuanzia kesho tar.16 May. Vijana wengi wa vyuo na sekondari wapo nyumbani na wamemic sn kubet.
Kurejea kwa ligi ya Ujerumani kunaweza kuwafanya kuvamia na kujazana kwenye vibanda vya Kubetia. Nashauri serikali iingilie kati kudhibiti hali hii la sivyo maeneo haya yanaweza kuwa mahali pa watu wengi kuambukizwa Corona. Watu wabeti kupitia simu zao tu!
Mtanisamehe wazee kubet sina lengo la kuwachomea lakini Afya kwanza haya mengine yapo tu
Sent using Jamii Forums mobile app