Hahaha
Binaadamu kula samaki siyo stori ila samaki akimla mtu inakuwa stori
China kuna wa Africa lukuki mpaka mabinti zetu wapo miji kibao kama Guangzhou wakijiuza na wengine huchukuliwa na kufanyishwa kazi za ngono kule
South Africa- kila siku vijana wanazamia ,ukienda bondeni kama ww ni MTZ huwezi kufa njaa lazima utakutana na mbongo tu ,na saizi imekuwa fashion kila kijana anakimbilia south
Kwa dunia inavyoenda vigumu sana kudhibiti hali hii ,nchi nyingi wameshindwa
Lakini kuhusu China ni serikali yao inafanya mkakati wa kuwapunguza
1.kuna taarifa nilikuwa natizama mwaka 2010 ilikuwa inaonyesha China hakuna nafasi watu kibao mpaka watu hutumia paa zao za gorofa kutengeneza shamba na kulima mazao huko
2.uzazi wa mpango watoto 2 tu ndio watu hutakiwa kuzaa
Sasa serikali yao inaamua kuwasambaza kwingineko ili wapunguze population zisizo na maana,nchi za kiAfrica zinabidi kuwa makini kuwacontrol hawa wachina ,tofauti na wahamiaji wa nchi zingine hawa waki China ni mkakati wa serikali yao..serikali iwe macho nao sana
Kuhusu identity ya WaTanzania miaka 100 ijayo,mkuu usijipe matumaini identity haitoweza kubaki sababu ya ukuaji wa sayansi na teknolojia na muingiliano wa watu ..True wasambaa ,true wadigo nk itapotea tu na ishaanza kupotea na true Tanzanians itapungua ,watu kila siku wanazaliana na wa south,wanyarwanda,waarabu,wazungu nk nk
Madiaspora wanazaliana tu ,kwenye Badoo, insta watu huingiliana
WaTanzania wameshakacha tamaduni zao na taifa lolote lile litakalokacha tamaduni zake basi halitoweza kusurvive litapotea .wanaoishi vijijini tu ndio watakaoendeleza ila kupitia rural urban migration bado tishio la kupotea lipo
Taifa litakaloweza kumaintain true identity yao kwa miaka 100 ijayo labda wa Saudi Arabia,wayahudi,
Kama wamasai,wahadzabe wangekuwa na taifa zao basi wange survive hata miaka 10,0000
Hao USA saizi wana senators wasomali,wahindi,latins nk nk