Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzo kabisa wa gas za majumbani za mitungi mara tu ilivyoanza kusambazwa...Ila katika siku za karibuni Kumekuwa kuna uhuni unafanyika kwa haya makampuni ya gas zinazotumika majumbani.
Maana mtungi uleule wa kampuni lileile uliokuwa ukitumia kwa matumizi yaleyale ya nyumbani, kwa mfano ule mdogo ambao ulikuwa ukidumu let say kwa mwezi mzima, sasa hivi unaisha haraka tu ndani ya wiki mbili.
Kama ni ule wa size ya kati ulikuwa ukidumu kwa miezi mitatu, sasaivi unaisha ndani ya mwezi mmoja tu! Hii inashangaza,inakuwa kana kwamba kuna uhuni unafanyika wanaweka gas nyepesi inayoisha haraka, ili gas iishe haraka na waweze kufanya biashara zaidi..
Naomba mamlaka za serikali zinazosimamia mambo ya gas lichunguze hili suala hili,maana sisi wananchi ndo tunaumia!