kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,308
- 2,070
Huduma za afya ni mbovu. Watendaji wa sekta hii baadhi ni wazembe na wanatoa lugha chafu kwa wagonjwa.
Tulalamike wapi ?? Ni wakati muafaka serikali ianzishe shirika la kusimamia huduma na kutetea wananchi ili wapate huduma bora kama wanavofanya tcra,sumatra,ewura,ssra na wengine.
Kwanini wananchi wakose watetezi kwenye huduma za afya wakati ndo uhai wao???
Wizara ya afya imeshindwa kabisa ni wakati sasa tuwe na shirika la umma kwa hii kazi maalum.
Nawasilisha.