Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,923
- Thread starter
- #21
Na wanaokataa kwamba hawafi kwa COVID 19 wanetumia Kipimo gani!?Umetumia kipimo gani?

Inasikitisha sanaJibu la andiko lako lote lipo kwenye mstari huo mmoja uliouandika.
Hadi sasa hakuna ushahidi wowote usiopingika unaosema wazi kwamba: "Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatokana na wananchi"
Kwa hiyo, serikali kama hiyo haiwajibiki kwa wananchi; ila serikali yenyewe ndiyo inayowawajibisha wananchi, kama inavyofanya sasa.
Mambo hapa kwetu yanafanyika kinyumenyume.
Kuchagua nguo na kuchagua vipimo bora vya kupimia CORONA ni mambo/vitu viwili tofauti.Wewe ni mzigo kwelikweli, Kwa hiyo Usipokuwa na kiwanda cha nguo au utaalamu wa kutengeneza nguo unamaanisha hauwezi pia kuchagua nguo nzuri inayofiti mwili wako? Kwa hiyo wewe unajichukulia tu na hauna haki ya kutambua hii inakufaa na hii haikufai Kwa sababu tu huna utalaamu wa kutengeneza nguo Siyo?
Komboka na utoke utumwani
Hivi kumbe serikali ndio inayotakiwa kupima wagonjwa eeh!?Kimsingi Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania haitokani na Serikali yenyewe bali inatokana na wananchi.
Watanzania ndiyo wenye Serikali na siyo Serikali ndiyo inawamiliki watanzania. Serikali inawajibika kwa Watanzania na watanzania wanawajibika kwa sheria za nchi na baadhi ya yaliyomo kwenye Katiba ya JMT.
Na ndiyo maana wanasiasa wamewekewa kwenye Katiba kuwepo madarakani kwa miaka mitano, watumishi wa Umma wanaruhusiwa kufanya Kazi mwisho miaka sitini na baada ya hapo wanatakiwa kustaafu Kazi.
Lakini hakuna muda wa mwisho wa Mtanzania kuwa Mtanzania.
Kwa hivyo, Maelekezo, maonyo, mazuio, makatazo yoyote yanayotolewa na waliomo serikalini KINYUME cha Katiba na sheria za nchi, bila ya kujali vyeo walivyo navyo, ni BATILI.
Kwa mfano watanzania wanao Uhuru wa kujieleza unaolindwa na Katiba. Mtanzania hazuiwi na Katiba anapotaka kuelezea hisia zake. Na Serikali haina haki ya kulazimisha hisia zake ndiyo ziwe hisia za Watanzania.
Kwa mfano kwa kuwa hakuna kipimo cha kisayansi kuthibitisha wanaokufa kama wanakufa kwa COVID 19 au la, basi wananchi wanaohisi ndugu zao wamekufa kwa COVID 19 wasizuiwe kueleza hisia zao hizo kwamba ndugu zao wamekufa kwa COVID 19.
Kama Serikali inataka Watanzania waache kutumia hisia kwenye kuelezea vifo vya ndugu zao vinavyotokea sasa, basi Serikali itumie vipimo vya kisayansi kupima CORONA.
Maana tangu Mheshimiwa Rais aseme vipimo vilivyokuwa vinatumiwa kupimia CORONA ni FEKI, Serikali haijawahi kusema kama imeagiza vipimo vingine.
Kwa ivo inawezekana na Serikali nayo haina uhakika kama wanaokufa nao wanakufa kwa COVID 19 au la.
Ili wananchi waache kuhisi ndugu zao kama wamekufa kwa CORONA, ni LAZIMA Serikali Sasa ianze kupima wagonjwa wote wanaohisiwa kuwa wamembukizwa COVID 19.
Kinyume cha hapo serikali itakuwa inahisi tu kuwa wanaokufa hawafi kwa COVID 19 haki ambayo wananchi nao pia wanayo ya kusema kuwa ndugu zao wanakufa kwa COVID 19.
Hoja umeielewa!!??Hivi kumbe serikali ndio inayotakiwa kupima wagonjwa eeh!?
Eti ukisema amekufa kutokana na korona unakamatwa why?Kimsingi Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania haitokani na Serikali yenyewe bali inatokana na wananchi.
Watanzania ndiyo wenye Serikali na siyo Serikali ndiyo inawamiliki watanzania. Serikali inawajibika kwa Watanzania na watanzania wanawajibika kwa sheria za nchi na baadhi ya yaliyomo kwenye Katiba ya JMT.
Na ndiyo maana wanasiasa wamewekewa kwenye Katiba kuwepo madarakani kwa miaka mitano, watumishi wa Umma wanaruhusiwa kufanya Kazi mwisho miaka sitini na baada ya hapo wanatakiwa kustaafu Kazi.
Lakini hakuna muda wa mwisho wa Mtanzania kuwa Mtanzania.
Kwa hivyo, Maelekezo, maonyo, mazuio, makatazo yoyote yanayotolewa na waliomo serikalini KINYUME cha Katiba na sheria za nchi, bila ya kujali vyeo walivyo navyo, ni BATILI.
Kwa mfano watanzania wanao Uhuru wa kujieleza unaolindwa na Katiba. Mtanzania hazuiwi na Katiba anapotaka kuelezea hisia zake. Na Serikali haina haki ya kulazimisha hisia zake ndiyo ziwe hisia za Watanzania.
Kwa mfano kwa kuwa hakuna kipimo cha kisayansi kuthibitisha wanaokufa kama wanakufa kwa COVID 19 au la, basi wananchi wanaohisi ndugu zao wamekufa kwa COVID 19 wasizuiwe kueleza hisia zao hizo kwamba ndugu zao wamekufa kwa COVID 19.
Kama Serikali inataka Watanzania waache kutumia hisia kwenye kuelezea vifo vya ndugu zao vinavyotokea sasa, basi Serikali itumie vipimo vya kisayansi kupima CORONA.
Maana tangu Mheshimiwa Rais aseme vipimo vilivyokuwa vinatumiwa kupimia CORONA ni FEKI, Serikali haijawahi kusema kama imeagiza vipimo vingine.
Kwa ivo inawezekana na Serikali nayo haina uhakika kama wanaokufa nao wanakufa kwa COVID 19 au la.
Ili wananchi waache kuhisi ndugu zao kama wamekufa kwa CORONA, ni LAZIMA Serikali Sasa ianze kupima wagonjwa wote wanaohisiwa kuwa wamembukizwa COVID 19.
Kinyume cha hapo serikali itakuwa inahisi tu kuwa wanaokufa hawafi kwa COVID 19 haki ambayo wananchi nao pia wanayo ya kusema kuwa ndugu zao wanakufa kwa COVID 19.
Sielewi kabisa!!Eti ukisema amekufa kutokana na korona unakamatwa why?
Mfano wako ni irrelevant kwa comment ya Kadhi Mkuu 1 kuna kanuni ya kimaana inayoongoza utoaji au uundaji wa mifano.Wewe ni mzigo kwelikweli, Kwa hiyo Usipokuwa na kiwanda cha nguo au utaalamu wa kutengeneza nguo unamaanisha hauwezi pia kuchagua nguo nzuri inayofiti mwili wako? Kwa hiyo wewe unajichukulia tu na hauna haki ya kutambua hii inakufaa na hii haikufai Kwa sababu tu huna utalaamu wa kutengeneza nguo Siyo?
Komboka na utoke utumwani
Covid bado iko kwenye utafiti!Na wanaokataa kwamba hawafi kwa COVID 19 wanetumia Kipimo gani!?
Kwa nini niishie hapo kama nimeona dalili za wazi za sababu ya kifo cha ndugu yangu . Huu upumbavu wa kulazimisha watu cha kusema ukome. Katiba yetu imetoa uhuru wa maoni.Kwani ukisema marehemu aliugua kwa muda mrefu au mfupi ukaishia hapo, haitoshi?
Hivi ni kweli unafikilia wanaokufa ni corona? Kwa hiyo sababu za vifo nyingine zote zipo likizo? Unajua ugonjwa wa mtu au marehemu ni za siri? Una uhusiano gani na marehemu hao?Hoja umeielewa!!??
Kama wao wanasema waliokufa hawajafa kwa CORONA, jee waliwapima na kujiridhisha Kuwa hawana CORONA kabla ya kufa kwao!!?
Weye mwana kuli'find', kuna kitu unakitafuta weye!Kwa nini niishie hapo kama nimeona dalili za wazi za sababu ya kifo cha ndugu yangu . Huu upumbavu wa kulazimisha watu cha kusema ukome. Katiba yetu imetoa uhuru wa maoni.
Kumbe tuna watu wenye akili sijui ilikuwaje tukawa na viongozi sampuli hiiKimsingi Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania haitokani na Serikali yenyewe bali inatokana na wananchi.
Watanzania ndiyo wenye Serikali na siyo Serikali ndiyo inawamiliki watanzania. Serikali inawajibika kwa Watanzania na watanzania wanawajibika kwa sheria za nchi na baadhi ya yaliyomo kwenye Katiba ya JMT.
Na ndiyo maana wanasiasa wamewekewa kwenye Katiba kuwepo madarakani kwa miaka mitano, watumishi wa Umma wanaruhusiwa kufanya Kazi mwisho miaka sitini na baada ya hapo wanatakiwa kustaafu Kazi.
Lakini hakuna muda wa mwisho wa Mtanzania kuwa Mtanzania.
Kwa hivyo, Maelekezo, maonyo, mazuio, makatazo yoyote yanayotolewa na waliomo serikalini KINYUME cha Katiba na sheria za nchi, bila ya kujali vyeo walivyo navyo, ni BATILI.
Kwa mfano watanzania wanao Uhuru wa kujieleza unaolindwa na Katiba. Mtanzania hazuiwi na Katiba anapotaka kuelezea hisia zake. Na Serikali haina haki ya kulazimisha hisia zake ndiyo ziwe hisia za Watanzania.
Kwa mfano kwa kuwa hakuna kipimo cha kisayansi kuthibitisha wanaokufa kama wanakufa kwa COVID 19 au la, basi wananchi wanaohisi ndugu zao wamekufa kwa COVID 19 wasizuiwe kueleza hisia zao hizo kwamba ndugu zao wamekufa kwa COVID 19.
Kama Serikali inataka Watanzania waache kutumia hisia kwenye kuelezea vifo vya ndugu zao vinavyotokea sasa, basi Serikali itumie vipimo vya kisayansi kupima CORONA.
Maana tangu Mheshimiwa Rais aseme vipimo vilivyokuwa vinatumiwa kupimia CORONA ni FEKI, Serikali haijawahi kusema kama imeagiza vipimo vingine.
Kwa ivo inawezekana na Serikali nayo haina uhakika kama wanaokufa nao wanakufa kwa COVID 19 au la.
Ili wananchi waache kuhisi ndugu zao kama wamekufa kwa CORONA, ni LAZIMA Serikali Sasa ianze kupima wagonjwa wote wanaohisiwa kuwa wamembukizwa COVID 19.
Kinyume cha hapo serikali itakuwa inahisi tu kuwa wanaokufa hawafi kwa COVID 19 haki ambayo wananchi nao pia wanayo ya kusema kuwa ndugu zao wanakufa kwa COVID 19.
Kuna kitu unakitafuta kwa lazima kwa mgongo wa hisia na uhuru wa kujieleza-umepotea njia kama unadhani kile ambacho huwa unajidanganya kwamba kwa kuwa unahisia zako unahaki ya kufanya chochote chenye hisia hizo bila kujali athari pana zaidi.Kimsingi Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania haitokani na Serikali yenyewe bali inatokana na wananchi.
Watanzania ndiyo wenye Serikali na siyo Serikali ndiyo inawamiliki watanzania. Serikali inawajibika kwa Watanzania na watanzania wanawajibika kwa sheria za nchi na baadhi ya yaliyomo kwenye Katiba ya JMT.
Na ndiyo maana wanasiasa wamewekewa kwenye Katiba kuwepo madarakani kwa miaka mitano, watumishi wa Umma wanaruhusiwa kufanya Kazi mwisho miaka sitini na baada ya hapo wanatakiwa kustaafu Kazi.
Lakini hakuna muda wa mwisho wa Mtanzania kuwa Mtanzania.
Kwa hivyo, Maelekezo, maonyo, mazuio, makatazo yoyote yanayotolewa na waliomo serikalini KINYUME cha Katiba na sheria za nchi, bila ya kujali vyeo walivyo navyo, ni BATILI.
Kwa mfano watanzania wanao Uhuru wa kujieleza unaolindwa na Katiba. Mtanzania hazuiwi na Katiba anapotaka kuelezea hisia zake. Na Serikali haina haki ya kulazimisha hisia zake ndiyo ziwe hisia za Watanzania.
Kwa mfano kwa kuwa hakuna kipimo cha kisayansi kuthibitisha wanaokufa kama wanakufa kwa COVID 19 au la, basi wananchi wanaohisi ndugu zao wamekufa kwa COVID 19 wasizuiwe kueleza hisia zao hizo kwamba ndugu zao wamekufa kwa COVID 19.
Kama Serikali inataka Watanzania waache kutumia hisia kwenye kuelezea vifo vya ndugu zao vinavyotokea sasa, basi Serikali itumie vipimo vya kisayansi kupima CORONA.
Maana tangu Mheshimiwa Rais aseme vipimo vilivyokuwa vinatumiwa kupimia CORONA ni FEKI, Serikali haijawahi kusema kama imeagiza vipimo vingine.
Kwa ivo inawezekana na Serikali nayo haina uhakika kama wanaokufa nao wanakufa kwa COVID 19 au la.
Ili wananchi waache kuhisi ndugu zao kama wamekufa kwa CORONA, ni LAZIMA Serikali Sasa ianze kupima wagonjwa wote wanaohisiwa kuwa wamembukizwa COVID 19.
Kinyume cha hapo serikali itakuwa inahisi tu kuwa wanaokufa hawafi kwa COVID 19 haki ambayo wananchi nao pia wanayo ya kusema kuwa ndugu zao wanakufa kwa COVID 19.
Umesema kweli kabisaKimsingi Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania haitokani na Serikali yenyewe bali inatokana na wananchi.

Anakuuliza swali la ajabu sana hilo.Hoja umeielewa!!??
Kama wao wanasema waliokufa hawajafa kwa CORONA, jee waliwapima na kujiridhisha Kuwa hawana CORONA kabla ya kufa kwao!!?
Kimsingi Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania haitokani na Serikali yenyewe bali inatokana na wananchi.
Watanzania ndiyo wenye Serikali na siyo Serikali ndiyo inawamiliki watanzania. Serikali inawajibika kwa Watanzania na watanzania wanawajibika kwa sheria za nchi na baadhi ya yaliyomo kwenye Katiba ya JMT.
Na ndiyo maana wanasiasa wamewekewa kwenye Katiba kuwepo madarakani kwa miaka mitano, watumishi wa Umma wanaruhusiwa kufanya Kazi mwisho miaka sitini na baada ya hapo wanatakiwa kustaafu Kazi.
Lakini hakuna muda wa mwisho wa Mtanzania kuwa Mtanzania.
Kwa hivyo, Maelekezo, maonyo, mazuio, makatazo yoyote yanayotolewa na waliomo serikalini KINYUME cha Katiba na sheria za nchi, bila ya kujali vyeo walivyo navyo, ni BATILI.
Kwa mfano watanzania wanao Uhuru wa kujieleza unaolindwa na Katiba. Mtanzania hazuiwi na Katiba anapotaka kuelezea hisia zake. Na Serikali haina haki ya kulazimisha hisia zake ndiyo ziwe hisia za Watanzania.
Kwa mfano kwa kuwa hakuna kipimo cha kisayansi kuthibitisha wanaokufa kama wanakufa kwa COVID 19 au la, basi wananchi wanaohisi ndugu zao wamekufa kwa COVID 19 wasizuiwe kueleza hisia zao hizo kwamba ndugu zao wamekufa kwa COVID 19.
Kama Serikali inataka Watanzania waache kutumia hisia kwenye kuelezea vifo vya ndugu zao vinavyotokea sasa, basi Serikali itumie vipimo vya kisayansi kupima CORONA.
Maana tangu Mheshimiwa Rais aseme vipimo vilivyokuwa vinatumiwa kupimia CORONA ni FEKI, Serikali haijawahi kusema kama imeagiza vipimo vingine.
Kwa ivo inawezekana na Serikali nayo haina uhakika kama wanaokufa nao wanakufa kwa COVID 19 au la.
Ili wananchi waache kuhisi ndugu zao kama wamekufa kwa CORONA, ni LAZIMA Serikali Sasa ianze kupima wagonjwa wote wanaohisiwa kuwa wamembukizwa COVID 19.
Kinyume cha hapo serikali itakuwa inahisi tu kuwa wanaokufa hawafi kwa COVID 19 haki ambayo wananchi nao pia wanayo ya kusema kuwa ndugu zao wanakufa kwa COVID 19.
Kama mtu kafa kwa kushindwa kupumua, huwezi kusema kafa kwa korona kama hujafanya isolation ya huyo virus, ndo maana wanatoa symptomatic diagnosis (labored breathing). Kuna utafiti bado unaendelea kuhusu huyo covid na chanzo chake, namna anavyoingia kwa binadamu na kusababisha madhara, nyenzo (proteins) zinazomsaidia kujishikiza (attachment), kuingia (entry) na kuzaliana (replication) na mambo mengine kibao..coronavirus yupo kwa mifugo miaka mingi sana lakini huwa hawaonyeshi dalili zozote au wanakuwa na dalili kidogo tu...maswali ya kujiuliza ni kwa nini coronavirus wamepata uwezo wa kuambukiza binadamu kutokea kwa mifugo na baadaye kuwa na uwezo wa kuambukiza toka binadamu mmoja hadi mwingine, hapa ndo wasiwasi ulipo huenda huyo covid katengenezwa maabara...