Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Huku ni kupoteza bure fedha, Walimu walipwe vizuri halafu wajitegemee makazi, hii itakuwa ni win - win situation hata Kiuchumi, kwani watalipa pango ambalo litaingia kwenye mzunguko wa fedha!
Na siyo Walimu tu bali Madaktari, na wengineo ambao hujengewa Nyumba, ibakie Wakubwa tu kama Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Spika lkn siyo KUB, Jaji Mkuu na labda Katibu Mkuu ndiyo apewe nyumba ya Serikali wengine wote wajitegemee!
Kwani kuwajengea Walimu, Madaktari &Co. Nyumba siyo economical, tutawajengea wangapi?