📌Kwenye suala la elimu lazima viwango vya ubora vidhibitiwe. Elimu ndio msingi mkuu wa maendeleo. Kule capetown univeraity kuna bango linasema if you want to destroy a nation, no need of long range missiles or nuclear bombs, you only compromise the education system.
Taasisi za dini zinafanya vizuri kuisaidia serikali kuanzisha au kutoa hiduma za kijamii ila hapa kati zikaingiwa na tamaa ya kupata faida kubwa zikaanzisha tu vyuo visivyo na sifa ya vyuo vikuu na wakaviita vyuo vikuu. Mfano kile st. Augustine cha songea, hata hadhi ya sekondari ya kata hakikufikia ila kikaitwa chuo kikuu.
Wajitahidi kama vile wanavyofanya ngazi ya sekondari wafanye hivyo hata ngazi ya chuo. Waajiri waalimu, walipe mishahara mizuri na kwa wakati watu watajazana huko.
Sioni kosa la serikali hapo, serikali kazi yake ni ku-maintain standards, kama hujafikia lazima wakufungie.
Kwenye suala la elimu lazima viwango vya ubora vidhibitiwe. Elimu ndio msingi mkuu wa maendeleo. Kule capetown univeraity kuna bango linasema if you want to destroy a nation, no need of long range missiles or nuclear bombs, you only compromise the education system.
Taasisi za dini zinafanya vizuri kuisaidia serikali kuanzisha au kutoa hiduma za kijamii ila hapa kati zikaingiwa na tamaa ya kupata faida kubwa zikaanzisha tu vyuo visivyo na sifa ya vyuo vikuu na wakaviita vyuo vikuu. Mfano kile st. Augustine cha songea, hata hadhi ya sekondari ya kata hakikufikia ila kikaitwa chuo kikuu.
Wajitahidi kama vile wanavyofanya ngazi ya sekondari wafanye hivyo hata ngazi ya chuo. Waajiri waalimu, walipe mishahara mizuri na kwa wakati watu watajazana huko.
Sioni kosa la serikali hapo, serikali kazi yake ni ku-maintain standards, kama hujafikia lazima wakufungie.
Upo sahizi,ndicho kinachoigharimu St.Fransis Ifakara.kisa ni Mbunge alitaka kupigwa na polisi akakimbilia kujiokoa kwenye majengo ya kanisa,toka hapo mpaka Leo ni visasi kwenda MbeleItakuwa ni visasi tu, baada ya kuona hawalambwi tena miguu, si unajua hii serikali ni ya visasi.
Dini zimekuwa zikijitahidi Sana kuwekeza kwenye miundombinu na majengo ya vyuo vikuu Tanzania kwa kupitia wafadhili wao wa ndani nje ya nchi ambao Mara nyingi wakishamaliza huwa hawaendelei kuchangia gharama za uendeshaji.
Dini Kama Waislamu,wakatoliki,walutheri, waanglikana na wasabato na moravian Wana vyuo vikuu vizuri vyenye miundombinu mizuri sana lakini hupata taabu kuajiriwa wahadhiri na maprofesa mahiri kutokana na uwezo mdogo wa kifedha.
Ushauri wangu kwa serikali badala ya kufungia hivyo vyuo kwa kukosa wahadhiri wenye sifa serikali iwe inatoa wahadhiri na maprofesa na kuwapeleka kwenye hivyo vyuo kwa ajira ya kudumu .Hizo dini zimeshatoa mchango wake kwa kujenga miundo mbinu serikali nayo ichangie nguvu kazi hasa upande wa wahadhiri na maprofesa iajiri na iwapeleke kwenye hivyo vyuo.
Idadi ya wanaomaliza kidato Cha sita ni wengi kuliko uwezo wa vyuo vichache vilivyopo vyenye sifa.Sioni kwa Nini chuo kifungiwe kuendesha kozi kisa eti hakina wahadhiri wenye sifa na serikali ipo Kodi zipo iajiri wahadhiri ipeleke vyuo viendelee kudahili wanachuo.
Dini Zina mchango mkubwa kwa jamii kwa upande wa vyuo vikuu na serikali nayo inatakiwa kuwa na mchango mkubwa kwa jamii kwenye vyuo kwa kutoa wahadhiri na maprofesa
Siongelei vyuo visivyo na standard hasa kwenye miundo mbinu Hilo naungana na wewe.Mimi naongelea vyuo vyenye miundo mbinu standard.Taasisi za dini zinafanya vizuri kuisaidia serikali kuanzisha au kutoa hiduma za kijamii ila hapa kati zikaingiwa na tamaa ya kupata faida kubwa zikaanzisha tu vyuo visivyo na sifa ya vyuo vikuu na wakaviita vyuo vikuu. Mfano kile st. Augustine cha songea, hata hadhi ya sekondari ya kata hakikufikia ila kikaitwa chuo kikuu.
Mkuu hili wazo lako zuri Sana.Ila Mara ingine si vizuri kusubiria hizo dini zije kuomba ubia wengi wa viongozi wa dini si wataalamu wa hayo mambo ya PPP ni vizuri serikali ku take iniatiative kuongea nao kuhusu Hilo kabla ya kuvifungia.Kuwa mna tatizo la wahadhiri mnaonaje tuingie ubia na nyie Kama wamiliki ardhi na miundombinu tuingie ubia kwa masharti moja mbili tatu .Kuongea tu kwa lugha ya upole tu maelewano yaweza kuwepo tu mbona.Kuliko time kuwa aggressive na ubabe kufunga funga tu sio vizuri.UBIA INAWEZEKANA.
Tanzania tunayo sheria inayoweka mazingira na kuwezesha ubia kati ya Serikali na sekta binafsi. Sheria hiyo ni The Public-Private Partnership Act, 2010 kama ilivyorekebishwa mwaka 2018.
Mashirika ya Dini yaangalie uwezekano wa kufanya makubaliano na Serikali chini ya Sheria hiyo ili kumiliki na kuendesha vyuo vikuu hivyo kwa njia ya ubia (PPP).
Tatizo la graduate Ni majizi na wazembe Ina kila Kona wasomi Ni tatizo, kule tabora mwanri anahangaika na mainjinia mtwara yaleyale dar tabu tupu mwanza Arusha mainjinia Ni tatizo, na wasipoajitiwa haohao ndio wa kwanza kulalamika ajira hakunaVyuo vikuu viendane na ajira ili wanaomaliza wapate matunda ya elimu yao...sio mtu anasoma then ajira hakuna anashinda mitaani mpaka aaliyosomra anasahau..
Now institution nyingi zinaajiri certificate na diploma so degree nyingi zinazagaa mtaani maana mashirika hayana pesa za kuwalipa
Kitu ambacho serikali ya CCM ikijui na itakijua ni kutambua kwamba private sector kwenye elimu ni muhimu na inamchango mkubwa kuzidi public sector, wanahitaji msaada mukubwa kwasababu wanafanya kazi nzuri iliopaswa kufanywa na serikali,Dini zimekuwa zikijitahidi Sana kuwekeza kwenye miundombinu na majengo ya vyuo vikuu Tanzania kwa kupitia wafadhili wao wa ndani nje ya nchi ambao Mara nyingi wakishamaliza huwa hawaendelei kuchangia gharama za uendeshaji.
Dini Kama Waislamu,wakatoliki,walutheri, waanglikana na wasabato na moravian Wana vyuo vikuu vizuri vyenye miundombinu mizuri sana lakini hupata taabu kuajiriwa wahadhiri na maprofesa mahiri kutokana na uwezo mdogo wa kifedha.
Ushauri wangu kwa serikali badala ya kufungia hivyo vyuo kwa kukosa wahadhiri wenye sifa serikali iwe inatoa wahadhiri na maprofesa na kuwapeleka kwenye hivyo vyuo kwa ajira ya kudumu .Hizo dini zimeshatoa mchango wake kwa kujenga miundo mbinu serikali nayo ichangie nguvu kazi hasa upande wa wahadhiri na maprofesa iajiri na iwapeleke kwenye hivyo vyuo.
Idadi ya wanaomaliza kidato Cha sita ni wengi kuliko uwezo wa vyuo vichache vilivyopo vyenye sifa.Sioni kwa Nini chuo kifungiwe kuendesha kozi kisa eti hakina wahadhiri wenye sifa na serikali ipo Kodi zipo iajiri wahadhiri ipeleke vyuo viendelee kudahili wanachuo.
Dini Zina mchango mkubwa kwa jamii kwa upande wa vyuo vikuu na serikali nayo inatakiwa kuwa na mchango mkubwa kwa jamii kwenye vyuo kwa kutoa wahadhiri na maprofesa
Sema baadhi sio woteTatizo la graduate Ni majizi na wazembe Ina kila Kona wasomi Ni tatizo, kule tabora mwanri anahangaika na mainjinia mtwara yaleyale dar tabu tupu mwanza Arusha mainjinia Ni tatizo, na wasipoajitiwa haohao ndio wa kwanza kulalamika ajira hakuna
kutofuata taratibu stahiki za kukidhi vigezo vya kuwa na hadhi ya kuwa vyuo vikuuKivipi?