Dont go away
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 501
- 208
- Thread starter
-
- #21
Naamini hata Mh Rais ameshajua kuwa Watz wamemchoka,na yeye Bila shaka hii Hali inamnyima raha Ila Ndio afanye nini kwani mashambulizi toka kwa raia na msingi mbovu wa utawala aliouweka unamfanya ashindwe kujua pa kuanzia,ninachoomba Watz wezangu hata kama tunataka hii chama iparanganyike lkn tumuombee Mh Rais amalize salama na asije kufanya maamuzI ya ajabu zaidi na kuligharimu Taifa kwani hasara itakuwa yetu sote.......
Kuna taarifa kutoka serkalini kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi wote waliokuwa wanangojea fedha ili waendelee na kazi na wale wote waliokuwa site wakiendelea na kazi ili kukwepa riba, hivyo serikali ipo kwenye mazungumzo na bank ya CRDB ili kukopa Bilioni 900 Tshs. Vile vile mishahara kwa watumishi wake imekuwa tabu sana hivyo serikali kulazimika kukopa pesa toka mabank mbali mbali nchini ikiwemo NMB ili kulipa mishahara.
Athari za Acc. ya Escrow ya TEGETA ni kubwa sana kuliko RAIS alivyolidanganya TAIFA kuwa athari zake si kubwa.
Ni kweli, haya Wabunge hawajalipwa mishahara yao na posho za Bunge lililopo ya nadhani. Kuna rafiki yangu kachukua tenda ya kuweka kifusi kwenye barabara maeneo Mbagala mpaka leo anapigwa Kiswahili tu.
Benno Ndulu alionya kuwa hutolewaji wa pesa zilizokuwa kwenye akaunti ya Escrow kunaweza kuyumbisha uchumi wetu, lakini majizi hayakutaka kumsikiliza yakalazimisha pesa zitoke na kugawana haraka haraka.
Hali mbaya kweli, kama hakutakuwa na chochote kuna hatari mishahara ya walimu na Polisi ikaanza kupigwa kalenda.
Ova
Labda kama tuna matatizo mengine, fedha zilizozuiliwa na wafadhili, sio ile General Budget Support kupitia Busket Funding, ni development budget, hivyo zile sio fedha za kulipia mishahara!. Hata fedha za MCC pia sio fedha za kulipia mishahara!.
Kama ni kweli Watumishi wa umma wamekosa mishahara, then tuna tatizo kubwa kuliko tunavyo jidhania!.
Pasco.
Naamini hata Mh Rais ameshajua kuwa Watz wamemchoka,na yeye Bila shaka hii Hali inamnyima raha Ila Ndio afanye nini kwani mashambulizi toka kwa raia na msingi mbovu wa utawala aliouweka unamfanya ashindwe kujua pa kuanzia,ninachoomba Watz wezangu hata kama tunataka hii chama iparanganyike lkn tumuombee Mh Rais amalize salama na asije kufanya maamuzI ya ajabu zaidi na kuligharimu Taifa kwani hasara itakuwa yetu sote.......
Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.
Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.
Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.
Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.
Uongo mtupu.
Siyo tatizo lako, hata Tumbili ilikuwa hivi hivi lakini alimwangusha Mwizi.
kifupi ni kuwa, Tuna aina nyingi za watanzania...
Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.
Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.
Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.
Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.
Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.
Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.
Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.
Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.
Nyinyi mmekalia kuzuwa tu kila kukicha, nchi iliyofilisika mnaijuwa nyinyi? tuulizeni sisi tuliokuwepo wakati wa Nyerere.
Wewe unaumwa akilo...mwehu mkubwa wewe...utakuwa ulizaliwa kwenye mikesha ya mbio za mwenge
Nani kasema nchi imefilisika? nchi kuwa hoi kifedha haina maana ya moja kwa moja kuwa imefilisika ingawa trend ni hiyo.
FAIZAFOX una matatizo gani ndugu? Nakushauri utafute kile kitabu cha RIWAYA cha A-LEVEL nimekisahau jina ila kinaelezea yule jamaa aliyekuwa anawataka wananchi waamini kuwa "Usiku ni mchana na mchana ni usiku" au nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe. SOMA labda unaweza kupata afueni kidogo.
Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.
Senti mbovu ya nje hakuna benki. Mafuta hakuna. Magari hayatembei. Cha kukila hakuna, frame za maduka panya tu na mende wanakimbizana, huko ndiyo ilikuwa kufilisika.
Leo mna neema, mnakwenda kuchaguwa mnunuwe unga gani wa kupika, mchele gani wa kula Krismasi, Beer gani ya kunywa.
Ilipokuwa nchi hii imefilisika wakati wa Nyerere mngeweza hayo?
Wacheni uongo.
Labda kama tuna matatizo mengine, fedha zilizozuiliwa na wafadhili, sio ile General Budget Support kupitia Busket Funding, ni development budget, hivyo zile sio fedha za kulipia mishahara!. Hata fedha za MCC pia sio fedha za kulipia mishahara!.
Kama ni kweli Watumishi wa umma wamekosa mishahara, then tuna tatizo kubwa kuliko tunavyo jidhania!.
Pasco.
Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.
Duuu kweli elimu ni muhimu sikujuwa kuwa faiza foxy upstairs uko mweupe peee .wewe ni kilaza sijapata kuona..dah pole sana