Serikali haioni hata idara zilizohusika kuwaajiri wenye vyeti zinatakiwa kuwajibika?

j kisumu

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
289
236
Kama wenye vyeti feki wamefukuzwa, je serikali haioni kwamba hata idara zilizohusika kuwaajiri zinamatatizo na zinatakiwa kuwajibika kwa kukosa weledi wa kuhakiki watumishi kabla ya kuwapa ajira?

Watambue kwamba hawa watu hawakujiajiri wenyewe waliajiriwa na walikaguliwa vyeti gvt iache double standad
 
Kama wenye vyeti feki wamefukuzwa je, serikali haioni kwamba hata idara zilizohusika kuwaajiri zinamatatizo na zinatakiwa kuwajibika kwa kukosa weledi wakuhakiki watumishi kabla ya kuwapa ajira? Watambue kwamba hawa watu hawakujiajiri wenyewe waliajiriwa na walikaguliwa vyeti gvt iache double standad
Wametumbuliwa
 
Screenshot from 2017-04-28 13-46-51.png


Swissme
 
Back
Top Bottom