Serikali haina hela za Kuajiri????? !!!!!

za kulipa tu mishahara hazipo, sijui za kuajiri watazipata wapi?
 
Sio kulia bali machozi na kufa njaa kwa graduates. Nguvu kazi ya Tanzania inapotea.

Wabunge wana ulafi wa Posho, ambazo hizo hela wangeokoa kama CDM Wanavyopendekeza ili angalau vijana waajiriwe.

Nasikia eti TUCTA wamefungua kesi mahakamani kuishitaki serikali. serikali ilidanganya kuwa sekta binafsi wameongezwa mshahara kwa asilimia mia.

makampuni binafsi ndo wanachangia chama la magamba hela za kampeni.

Hivyo makampuni binafsi wanatumia nafasi hiyo kuwanyonya watanzania.

Pia inakuaje kuwe na mfumuko wa bei halafu mshahara ubaki pale pale.

Bidhaa za viwandani zitapandaje bei bila kipato cha wazalishaji kuongezwa??

Bidhaa za viwandani zimepanda bei kwa hiyo kiwanda kimepata zaidi na hivyo wafanyakazi walipwe zaidi.

Jamani wachumi saidieni hapa.
 
Nijuavyo mi ni kuwa ,tofauti na ualimu na udaktari,hamna ajira mpya itakayotolewa,na wakitoa ni gheresha hamna kuajiriwa mwaka huu. Ni habari kutoka ktk siri za wizara mojawapo ya nchi.
 
Back
Top Bottom