Serikali haijali watu wake. Hii ndiyo stendi ya Bukoba wakati Kagera kuna watu milioni 3

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,381
14,186
Watu zaidi ya million 3 utumia hii stendi kusafiria kwenda mikoa mbalimbali na Pia wilaya mbalimbali.

Rais ni mtu wa wanyonge. Sijui wanyonge wapo kama watu milioni tatu waishio Kagera hatoi hata bilion 2 kujenga stendi lakin bilion 100 kununua ndege zinapatikana au labda CCM wengi huja Bukoba Kwa ndege?

Au labda Kwa kuwa wanaishi Dar?maana Dar hata stendi ya Mbagala au Mbezi inazidi stendi kuu ya mkoa wenye watu million 3 Kagera.

Dah serikali haijali watu wake
images%20(28).jpeg
images%20(3).jpeg
images%20(4).jpeg
 
Hivi kwa kashindwa kutokea bepari moja la kihaya likakarabati chap hiyo stand
Tanzania haina Sheria za hivyo.



Hiv kwan nini tufike huko wakati watu wanalipa Kodi? Na zinaenda kununua ndege za bilion 100 wakati stendi Tu kuiwekea lami haizi bil 5?
 
Tanzania haina Sheria za hivyo.



Hiv kwan nini tufike huko wakati watu wanalipa Kodi? Na zinaenda kununua ndege za bilion 100 wakati stendi Tu kuiwekea lami haizi bil 5?

Kama ni kweli ipo hivyo hiyo stendi poleni
Ndio serikali yeni hii ya wanyonge...labda zamu ya Bukoba itafika
 
Serikali haiwajali watu wake? Mikoa mingi tu ni aidha imejengewa au ina miradi ya vituo vikubwa vya mabasi... Sasa unaopo conclude kwa kuangalia stend moja tu nadhani unakosea... Wakati mwengine mnapotaka kuichafua serikali muwe mnajaribu kufikiria kidogo
Basi serikali ina ubaguzi!!!

Watu wote hao 3 million wanaishi Kagera kwanini hawajengewi stendi?
 
ila huo mkoa bado kuna maisha ya kijima sana,siku niko huko nashangaa jamaa anatoa tenda la kubeba mawe kwa vijana basi wakatengeneza kata na kuanza kuyabeba kichwani (wanahamishia kwenye kiwanja)

Iyo stendi ni matokeo ya siasa maana kuna wakat ilitaka tengenezwa ukaibuka mgogoro

ipo nyingine inajengwa maeneo ya rwamishenye mbele kdg sijui ina khali gani kwa sasa
 
Kwakweli hii siyo sawa.. Wahaya wanamchango mkubwa sana kwenye kutengeneza wataalamu vyuoni. Naona Airport ipo sawa ila stendi ya bus ni hovyo, au wahaya wanapanda ndege sana kuliko ma bus
Tunaomba maboresho hadhi yao ni kubwa mno!
 
Back
Top Bottom