Wakati mataifa Mengine mabasi hutembea masaa 24, ili kurahisisha wafanyabiashara kukimbia huku na kule kurahisisha kazi zao Serikali ya magufuli ikifika SAA NNE usiku kama Ni Basi la abiria Basi mtalazwa Morogoro kwa lazima.
Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Afrika kusini na mataifa kama Uganda magari hasa mabasi hutembea usiku kucha Tanzania Ni kulala ikifika SAA NNE Hiyo sio njia ya kukuza Biashara,
Observed.
Mtu unatoka Mwanza umechelewa kufika Moro saa nne labda kwa breakdown mnalazwa hapo mpaka kesho yake.
Alafu hivi vibao vya kutembea chini ya KM 50 vimezidi njiani,kila kijiji kuna kibao.Kuna haja ya TANROADS kuanza kuvipunguza hasa kwenye maeneo ya watu walioelimika.