Serikali haijali muda na hivyo kuleta maendeleo itakua ndoto milele.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,300
15,018
Wakati mataifa Mengine mabasi hutembea masaa 24, ili kurahisisha wafanyabiashara kukimbia huku na kule kurahisisha kazi zao Serikali ya magufuli ikifika SAA NNE usiku kama Ni Basi la abiria Basi mtalazwa Morogoro kwa lazima.
 
Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Afrika kusini na mataifa kama Uganda magari hasa mabasi hutembea usiku kucha Tanzania Ni kulala ikifika SAA NNE Hiyo sio njia ya kukuza Biashara,
 
Observed.
Mtu unatoka Mwanza umechelewa kufika Moro saa nne labda kwa breakdown mnalazwa hapo mpaka kesho yake.
Alafu hivi vibao vya kutembea chini ya KM 50 vimezidi njiani,kila kijiji kuna kibao.Kuna haja ya TANROADS kuanza kuvipunguza hasa kwenye maeneo ya watu walioelimika.
 
mkizichanga changa kodi zenu zinatutosha kutumia tuishi kama malaika, ili nyinyi mbakie kushi kama mashetani
 
serikali imeshindwa kusimamia usalama wa abiria nyakati za usiku...
Ivyo atakae kaidi agizo la serikali hatua kali zitachukuliwa dhidi yake
 
Wazir Wa wizara ya mambo ya ndani anaendesha wizara kikada bila weledi pia hawaambian ukweli mkulu hataki ushaur tumekwisha!
 
Inasikitisha wakati dunia hii wengine wanatafuta muda wa kufanya tafiti wana kosa sisi Ndio na muda wa kulala unapatikana
 
Observed.
Mtu unatoka Mwanza umechelewa kufika Moro saa nne labda kwa breakdown mnalazwa hapo mpaka kesho yake.
Alafu hivi vibao vya kutembea chini ya KM 50 vimezidi njiani,kila kijiji kuna kibao.Kuna haja ya TANROADS kuanza kuvipunguza hasa kwenye maeneo ya watu walioelimika.
Acha mkuu kuendelea itakua ndoto wengine wanapiga hatua kwa sababu wako busy 24/7 Lakini sisi Ni vituko
 
mkizichanga changa kodi zenu zinatutosha kutumia tuishi kama malaika, ili nyinyi mbakie kushi kama mashetani
Viongozi waangalie muda vizuri kwani muda wa kazi inatakiwa uongezeke na sio upunguzwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom