Serikali chunguzeni Sober Houses, nyingi ni magumashi sana

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Its all about the grants, misaada na finances kutoka wa wafadhili and other fees kutoka kwa ndugu wa muathirika ndio hamasa ya hawa jamaa.

Hizi nyumba zimeishia tu kuwa sehemu ya kutunza watu ambao hawatakiwi kusumbua familia. Wanao wamanage watu hawa ndio wale pia walikuwa waathirika wengine wakitumia bado kwa siri hadi mara nyingine kuwauzia victims wanaopewa matibabu.

Sasa sober houses zimekuwa nyingi sana ila wengi wanaorudi mtaani wanaendelea kufanya yale yale halafu jamaa waliokuwa wana mtunza ili awe timamu ukiwa contact kuwa mbona mtu huyu amerudia mapema tabia ya uraibu wanaanza kukupa story nyingi kuwa mazingira, uchawi mara mrudishe.

Najua mara uraibu nyingi inakuwa rahisi kuisha pale mtu anapohiari lakini mjue kuwa sober houses nyingi hawana a conducive care system ya kumeneji mtu kiuhakika kuanzia saikolojia hadi matibabu. Wengi wanaishi nao kwa style ya "bora liende akipona atapona tu"
 
Mwaka jana nilimpeka dada yangu
Aliporudi alikuwa teja zaidi na kibunda wale washikaji wamekula .

Tukajipa kazi kama familia kuhakikisha anakuwa sawa , kwasasa dada yangu sio yule amekuwa vizuri kabisa mpaka namtafutia mwanamme mwenye hela nzuri sio hawa mbelilembelile wakushindwa kumtunza dada ake.
Uongo

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom