njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
wapanue tu magereza yaani mama mwenye nyumba wa buza mama amina umuambie asilimia zako kadhaa napeleka TRA? unatolewa muda huohuo na matarumbeta juuTulia, January tutaanza kuwapiga virungu wananchi msiotaka kulipa kodi ya kichwa
wapanue tu magereza yaani mama mwenye nyumba wa buza mama amina umuambie asilia zako kadhaa napeleka TRA? unatolewa muda huohuo na matarumbeta juu
zinajenga viwanja kumi kama benjamini mkapa, ikipungua sana ni viwanja naneAisee ni pesa nyingi mpaka basi.
Na huku ndiko tunakokwenda. Kama mpangaji hataki/hawezi, basi akatafute chumba mahali pengine.Kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
Mwenye nyumba hawezi kukubali 10% yake ya kodi umkate, lazima vyuma viumane...
zile ndege 5 zilizonunuliwa cash zinatinga lini? nchi inapata heshima sana kununua ndege kwa cash inaonyesha uimara wa serikali naona na models za 2022 ziko kitaa sasa lazima wanuka jasho waumie ili ziwekwe mafuta full kiyoyoziUnaambiwa na wenyewe kwamba baada ya vita activity nyingine inayotumia pesa nyingi sana kwa mda mfupi huwa ni sensa..so relax..
Hayo ya sijui wapi bado nk kila kaya itafikiwa na wasiofikiwa kuna namba zimewekwa Ili waje kuhesabiwa.
Kwani mimi na mwenye nyumba tukikubaliana kuwa kodi ni sh100000 ila serikalini tukasema ni 30000 kuna tatizo ganiKuongea ni rahisi kuliko kutenda.
Mwenye nyumba hawezi kukubali 10% yake ya kodi umkate, lazima vyuma viumane...
Upo sahih leo tumetembelewa na karani n demu aseee watu watatu katumia masaa karibu matatu..mm nmekataa kuhesabiwaKiruuuuuuuuu mtaani kwetu nyumba zilizohesabiwa hazifiki 8 na nyumba moja mtu anakaa masaa 5-6. This is a joke...
zamani kwenye makaratasi ilikuwa inafanywa kuanzia ngazi ya nyumba kumi wanaojua vyema watu wao na ilikuwa efficient kwa siku inaisha , nakuhakikishia kwa nilichokiona hapa mtaani kwetu asilimia 60 wanaenda kupika data kama zile za tume ya uchafuziHii sensa ilipaswa kufanywa na kada ya walimu nafikiri ingefanyika kwa ufanisi zaidi, nilivyiwaangalia hawa makarani ni kama walikuwa wanafanya bora liende
Utawapandisha vijana hasira! Wana hasira sana na walimu. Maana kwa akili zao wanahisi hao walimu ndiyo chanzo cha wao kuwa jobless mitaani. Na wala siyo serikali yao sikivu.Hii sensa ilipaswa kufanywa na kada ya walimu nafikiri ingefanyika kwa ufanisi zaidi, nilivyiwaangalia hawa makarani ni kama walikuwa wanafanya bora liende
Mm sio Mbarawa au Mkuu wa wakala wa ndege za serikalizile ndege 5 zilizonunuliwa cash zinatinga lini? nchi inapata heshima sana kununua ndege kwa cash inaonyesha uimara wa serikali naona na models za 2022 ziko kitaa sasa lazima wanuka jasho waumie ili ziwekwe mafuta full kiyoyozi
View attachment 2335491
kwa mara ya kwanza leo umekosa jibu la kutetea awamu ya sita anyway hongereni kwa kushusha ma lexus 2022 models, najua mwakani tena 2023 vyuma vingine vitaanguka modelya mwaka huo, lazima viongozi watunzwe vizuri sababu wanafanya kazi kubwa san aya kuhudumia wanuka jashoMm sio Mbarawa au Mkuu wa wakala wa ndege za serikali
Siteteagi ujinga mimi ila ukiona natetea ujue kuna logic,sensa ina logic mambo ya ndege huwa sio Kati ya mambo nayoyakubali maana naona ni wastage ya resources iliyoanzisha na Mwendazake.kwa mara ya kwanza leo umekosa jibu la kutetea awamu ya sita anyway hongereni kwa kushusha ma lexus 2022 models, najua mwakani tena 2023 vyuma vingine vitaanguka modelya mwaka huo, lazima viongozi watunzwe vizuri sababu wanafanya kazi kubwa san aya kuhudumia wanuka jasho