Hisa zinafanyiwa biashara na London Stock Exchange. Hazikai na mtu chumbani kwake.Wakituuzia hisa na ofisi ziko kwao si tutakuwa tunafanya mchezo wa D9 club wa kupanda mbegu ila anayezipalilia humuoni unasubiria kuvuna? akisema mtandao umecolapse ukapoteza data tutafanyaje?
Sasa kilichomleta Thornton ikulu ni nini?Mkuu deni gani? ACCISIA wamezingatia mikataba na sheria za nchi yetu twendeni mahakamani kuthibitisha deni letu.
Hata ukidharau matokeo ya tume ya kwanza na karibuni yote ya tume ya pili, ni wazi kabisa (tume ya pili) ACACIA walidanganya wanasafirisha makontena mangapi.Mkuu deni gani? ACCISIA wamezingatia mikataba na sheria za nchi yetu twendeni mahakamani kuthibitisha deni letu.
Hilo deni unamdai nani? Njaa mbaya sana aisee!!Ni dhahiri hawa jamaa mmewashika pabaya. Lakini hili deni ni kubwa sana na watakuja na kila mbinu ili wapunguziwe.
Nawashauri muwakomalie na kwamba kama hawawezi kulilipa deni lote basi sehemu yake inunue hisa za huo mgodi.
Tulikwishapoteza hisa zetu za 15% hapo nyuma. Ni wakati muafaka sasa kuzirudisha maradufu kwa kutumia sehemu ya hili deni.
Uwezekano wa kubadilisha mkataba wa sasa pengine ni mgumu kidogo. Ikiwezekana sawa, la sivyo hii ndio nafasi yetu ya kujenga hisa za hii migodi kwa kutumia hili deni.
Hawa wazungu wataielewa tu hiyo kitu (Equity Financing of Debt).
Amekuja kuangalia komweSasa kilichomleta Thornton ikulu ni nini?
Hakuna jela ya kumfunga mzungu bhanaHata ukidharau matokeo ya tume ya kwaza na karibuni yote ya tume ya pili, ni wazi kabisa (tume ya pili) ACACIA walidanganya wanasafirisha makontena mangapi.
Miaka nenda miaka rudi wanatuambia wanasafirisha makontena fulani lakini rekodi za melini zinaonyesha kitu kingine. Hili ni kosa la jinai (wizi). Watu wanakwenda jela kwa kosa kama hili.
Unafikiri kwa nini wanakuwa wanyenyekevu kiasi hiki.
Hapo sasa,haiwezekani asilaniHahahahahahaha mzungu hajawai kuwa mjinga tena ashindwe na mchunga ng'ombe? Maajabu ya dunia yatakuwa
Bandari hii hii ambayo ambayo tunaambiwa magari kwa maelfu yali vanish?Hata ukidharau matokeo ya tume ya kwaza na karibuni yote ya tume ya pili, ni wazi kabisa (tume ya pili) ACACIA walidanganya wanasafirisha makontena mangapi.
Miaka nenda miaka rudi wanatuambia wanasafirisha makontena fulani lakini rekodi za melini zinaonyesha kitu kingine. Hili ni kosa la jinai (wizi). Watu wanakwenda jela kwa kosa kama hili.
Unafikiri kwa nini wanakuwa wanyenyekevu kiasi hiki.
Hivi deni ambalo wanadaiwa na wamekubali kulipa ni deni gani?ni fedha ambazo zimebainika kuwa ziliibiwa kutokana na mikataba mibovu ambayo ilipitishwa na watuhumiwa wetu?au katika pesa hizohizo chache walizotakiwa kulipa Kuna sehemu hawajalipa?.Lakini hili deni ni kubwa sana na watakuja na kila mbinu ili wapunguziwe
Mkuu aliletwa na sintofahamu ya MaguSasa kilichomleta Thornton ikulu ni nini?
Nenda kwa Zitto mkuu akuoneshe jinsi ya kuvuka Mto MaraKwani tunawadai ACACIA?
Hivi mwizi akikuibia nani wakulaumu ni wewe uliyeibiwa au mwizi?Hata ukidharau matokeo ya tume ya kwaza na karibuni yote ya tume ya pili, ni wazi kabisa (tume ya pili) ACACIA walidanganya wanasafirisha makontena mangapi.
Miaka nenda miaka rudi wanatuambia wanasafirisha makontena fulani lakini rekodi za melini zinaonyesha kitu kingine. Hili ni kosa la jinai (wizi). Watu wanakwenda jela kwa kosa kama hili.
Unafikiri kwa nini wanakuwa wanyenyekevu kiasi hiki.