Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,039
- 3,147
Wako bery royal wenyewe na brain washed hadi huruma unakuta yuko pale miaka zaidi 10....hatokiiiii pale..wewe ndio unachanganyikiwaSalaam
Kama ilivyo ada mimi ni muuza mboga mboga mjini pale Dar es Salaam nikiwa na tenga langu kichwani asubuh tu nipo nazunguka mitaa ya mjini pale posta, upanga yote asubuhi.
Lakini hua naumia roho sana napoona mazingira na hali ambazo wanakua nazo dada zetu wa kitanzania katika nchi yao ni kama vile wapo ughaibuni.
Kazi zao ni ngumu mshahara ni mdogo lakini watafanyaje tu vile wanaishia kukomaa tu na kutoa malalamiko yao kwa sisi wauza mboga asubuhi tunapowapelekea.
Hebu serikali kupitia wizara ya kazi kama ipo angalieni raia wenu hawa fuatilieni maendeleo yao kwa kweli hawana wa kuwasema ni kama vile wapo nchi ambayo sio yao.
Kazi wafanyazo hazina mikataba , mshara ni mdogo hawana bima yoyote wanaachishwa kazi kiajabu ajabu hamna mafao kiinua mgongo wala nauli pindipo waacishwapo nao ni wananchi wenu viongozi tuonesheni umoja basi.
Yuko mama ananambia ana miaka zaidi ya 25 kwenye kazWako bery royal wenyewe na brain washed hadi huruma unakuta yuko pale miaka zaidi 10....hatokiiiii pale..wewe ndio unachanganyikiwa
Hawana mawazo hayo nafikiri.Kwani ni lazima kuajiriwa, wanashindwaje kujiajiri baada ya kupokea mshahara?
Mimi pia najua jamaa driver lakini siku nyingine mpaka vyombo ndani anaosha.... Gengeni anaenda yani hamna kazi maarumu ni mvuruganoWahindi ukisaini mkataba nao umekwisha,unaweza kuwa ni machine operator ukashangaa siku kazi hamna au umemaliza mapema ukachukuliwa ukapelekwa kweny kubeba mizigo qu kufagia.
Kuna msela alikuwa dereva wa gari ya muhindi anakuambia siku nyingine anatakiwa kuliosha gari na kuna siku anaambiwa akasafishe store .
Umewahi kuwashauri waache kazi waungane na wewe muuze mboga kama zinalipa?Salaam
Kama ilivyo ada mimi ni muuza mboga mboga mjini pale Dar es Salaam nikiwa na tenga langu kichwani asubuh tu nipo nazunguka mitaa ya mjini pale posta, upanga yote asubuhi.
Lakini hua naumia roho sana napoona mazingira na hali ambazo wanakua nazo dada zetu wa kitanzania katika nchi yao ni kama vile wapo ughaibuni.
Kazi zao ni ngumu mshahara ni mdogo lakini watafanyaje tu vile wanaishia kukomaa tu na kutoa malalamiko yao kwa sisi wauza mboga asubuhi tunapowapelekea.
Hebu serikali kupitia wizara ya kazi kama ipo angalieni raia wenu hawa fuatilieni maendeleo yao kwa kweli hawana wa kuwasema ni kama vile wapo nchi ambayo sio yao.
Kazi wafanyazo hazina mikataba , mshara ni mdogo hawana bima yoyote wanaachishwa kazi kiajabu ajabu hamna mafao kiinua mgongo wala nauli pindipo waacishwapo nao ni wananchi wenu viongozi tuonesheni umoja basi.
Si unaonaaaaaa...eehj yaani wameridhikaaaYuko mama ananambia ana miaka zaidi ya 25 kwenye kaz
Sijawah kwakwel.Umewahi kuwashauri waache kazi waungane na wewe muuze mboga kama zinalipa?
Siku moja jaribu kuwashauri uone kama watakubali.Sijawah kwakwel.
Robo ya mshahara wanalipwa wao na robotatu iliyobaki inalipwa CCM ili isiwasikilize.Salaam