Serikali amemharibia Mbowe, na Mbowe ameiharibia Serikali

Mbowe ni shujaa

 
Hatutaki msamaha kwa ushahidi wa Kingai na Mahita, eti wamtie hatiani, mkimtia hatia hukumu ni kunyongwa, wamnyonge sio msamaha

..Mbowe anaweza kupatikana na hatia halafu akapata msamaha wa Raisi.

..kwasababu ugaidi unakaribiana na uhaini, labda tungerejea wahusika waliohukumiwa kwa uhaini wakati wa awamu ya kwanza, walitolewa baada ya kutumikia vifungo vya muda gani.

..Nakumbuka kesi ya mwisho ya uhaini hukumu yake ilikuwa mwaka 1983 au 1984. Na wahusika waliopatikana na hatia walipata msamaha wa Raisi kati ya mwaka 1994 na 1995. Naomba kusahihishwa.

..Nashawishika kuamini kwamba kama Mbowe atapatikana na hatia, basi uwezekano mkubwa ni kutumikia kifungo kirefu, na kupata msamaha wakati Raisi SSH anaondoka madarakani, au kusamehewa na Raisi atakayemrithi SSH.
 
Mnajipendekeza ndo maana nyomi ya chekechea .....watu tunapiga bia tu
Arusha ni Tanzania mkuu....

Wanaarusha wana haki kuu ya kutembelewa na mkuu wao wa nchi na kutekelezewa changamoto zao kwani wanalipa Kodi pia......

#Tanzania Moja
#Siempre JMT
 
Yaani na Mimi nilimpenda Samia, Ila kupitia hii kesi sitaki ata kumsikia
Nilikuwa na Imani na Samia, angalao kwa 70% lakini kuruhusu Serikali yake ifanye ubambikiaji, nimemshusha mpaka 50% kwa kuamini tu kuwa alidanganywa na akina Siro, otherwise ningempa 30% credit.
 
Hivi huwa unasomaga comments zako kabla ya kujibu
 
Cathelin acheni kuokoteza vijimaneno kwenye mitandao ya jamii hasa Twitter/Space ya Maria Sarungi. Mnaposema Samia alikataliwa kuonana na Joe Biden na Kamala Harris naomba mtuwekee hapa kivuli cha barua ya Serikali ambayo Ikulu walimuombea Samia kuonana nao.

Ninavyojuwa Samia alikuwa mgeni wa Secretary General wa UN, Guitterez ambaye waionana na kutoa official statement.
 
Ki-uchumi wamemuharibia "temporarily"'; ila wamemupaisha sana ki-siasa "permanently". Mbowe has more to gain socially than losing in this controversy. CCM have carelessly dug their own grave.
Atapaa vipi politically? Kwanza inajuwa hukumu yake itaishaje? Kwa mfano akiwa banned kujishughulisha na shughuli za kisiasa?
 
Vijana wamezoea maneno, hawajui Siasa za Dunia ni wa kuwapuuza.
 
Hela inayotokana na jasho letu (tozo, kodi, n.k.) inatumika visivyo.
Helicopter zinahalalisha tu wizi wa fedha za umma, hakuna adui wa kumlenga Samia toka angani. Adui mkubwa kwake ni waislamu wenzake ambao sherehe ya maulidi ameshindwa kwenda Kagera inakifanyika kitaifa. Asingeweza ruhusiwa kukaa meza moja na wanaume high table.
 
Duh! I reserve my comment for now.
 
Safari hiii hawakukusanya wanafunzi na wafanyakazi wa umma kujaza uwanja?
 
atasubiri kunyongwa hadi kifo kitakapomkuta - ila kufungwa atafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…