Series ya Kusikitisha based on true story

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Habari Wadau .

Kwa wale wapenda movie/series.

Je ni series gani nzuri naweza kuangalia yenye mashiko ,kusimumu zaidi kusikitisha ,na iwe ya ukweli ,yaani iwe imebase kwenye reality story ! .
Thank you
 
ebola africa
 
Iwe ya ukweli? Hayo masharti yako magumu yatakufanya usipate msaada
 
Nadhani ukitaka ukweli angalia documentaries utapata nyingi au series za kikorea kuna nyingi ni periodical / historical (kina Jumong et al..) au historical series kama Shaka Zulu.. Ila series niliyoshaiona inasikitisha ni The Thorn Birds, ingawa sio ya kweli ila ni story ya kusikitisha sana based kwenye binti mmoja aliyempenda priest hadi kupelekea kumchukia Mungu sababu ya huyo priest kupenda zaidi kazi yake kuliko yeye

Last edited by a moderator:
Jumong is my number one. Naweza sema inaendana na story yetu ya zanzibar baada ya nchi ya geguryo kupotea na mateka wake kua watumwa kwa jeshi la khan. Namaanisha baada ya nchi ya zanzibar kupata uhuru na viongozi wote kua watumwa wa tanganyika. Wanatokea watu kama kina haemosou ndani ya ule mchezo kutaka kuirudisha nchi yao ya geguryo lakini wanashindwa. Nawafananisha na watu kama Abdu jumbe, uamsho waliokuja kudai madaraka yao ya zanibar yao pia wameshindwa kutokana na vita dhidi ya nyerere na ccm ambao ni khan. Sasa tunamsubiri jumong aje kutukomboa. Suali langu ni kujiuliza nani atakua JUMONG kwa zanzibar
 
Kama ni swali katika mtihani na msahishaji ni mimi nakupa maksi zote.
 
Habari Wadau .

Kwa wale wapenda movie/series.

Je ni series gani nzuri naweza kuangalia yenye mashiko ,kusimumu zaidi kusikitisha ,na iwe ya ukweli ,yaani iwe imebase kwenye reality story ! .
Thank you

Kuvua magamba! Hivi hii iliisha?
 
Back
Top Bottom