Jinsi gani ya kuandika s?cript za Series yaani filam zenye muendelezo

Dendu isaya

New Member
Mar 27, 2023
2
1
Habarini, ndugu mimi ni muandishi wa script za movie ninaejifunza.Nimepata changamoto ya kujua.Jinsi ya kuandika script za Series yaani filam zenye muendelezo.Ninapenda kujua vitu vifuatavyo;
1.Series inatakiwa iwe na episode ngapi ili ikamilike?
2.Je kila episode inatakiwa iwe na scene ngapi?
3.Kuna tofauti yoyote kati ya Filam fupi na yenye muendelezo? Asanteni
 
Tofauti zipo,

Filamu ambayo ni single Movie inakuwaga na 60-90 pgs kwa budget za kawaida ila inaweza kuwa zaidi ya hapo

Series Episode ni 56-60 pgs kila kitu approximately inakuwaga one script page ni one or less a minute hapo ni kwa series zile za dakika 44- 50

Kwa hizi series za dakika 20 sifahamu labda gawanya kwa mbili
 
Nashukuru sana kwa mchango wako sasa swali langu linabaki episode moja inatakiwa iwe na scene ngapi?
 
Nadhani hapo ni wewe sasa unakuwa umelenga nini kwa audience yako.

Mfano series kama ya Jeffery Dahmer ina episodes kumi tu na muhisika alianza na kuuwawa at a single season. So inategemea na wewe story telling yako ndio itaamua namna ya uandikaji wa script.
 
Back
Top Bottom