Series Ya EMPIRE Special Thread...

Series Ya EMPIRE Special Thread...

The originals season 3 yatoka lini wadau
episode ya kwanza "for the next millenium" inatoka officially tarehe 8 mwez wa kumi.. ila tegemea iyo episode kuwa leaked kabla ya hiyo tarehe maana ndo katabia ka siku hz
 
Wabongo shida kweli title ni Empire but content ni any series
 
Empire
 
Attachments

  • 1443480134480.jpg
    1443480134480.jpg
    32.1 KB · Views: 106
  • 1443480150246.jpg
    1443480150246.jpg
    57.8 KB · Views: 113
  • 1443480178775.jpg
    1443480178775.jpg
    44.3 KB · Views: 107
Season 3 imeanza kutoka ...mwenye link plz
 
Blindspot mimi nipo kwenye season 2 episode 2.ni nzuri kama unapenda series za u spy
Blindspot tamu sana... hapa nasubiri episodes zisogegee sogee kidogo... zifike angalau 5 kwa hii mini season
 
Naomba kujua hizi nyimbo zilizotumika humu ndani ni zipo tayari recorded i.e naweza kudownload mp3 zake sehemu au...?

Kama jibu ni ndio naomba kujua jina la wimbo wa kwanza kwenye season 1 episode 1 unaitwaje na muimbaji ni nani wakuu.

Ikiwezekana si mbaya mkaniwekea hapa jukwaani wakuu. What is loooove, if u are not here with me. What is looove, if is not guarantee sina hakika kama niko sawa.

Kuna wimbo wa kibongo nikiuskia huwa kama napata hii ladha ndani yake sjui ni wa nani huu wimbo ni mwanamke mmoja hivi mistari inasema baby one day (one day) baby one day (one day) sjui kama niko sawa pia.

Mnisaidie huo wimbo wa kwenye empire please.

Thank You.
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Upo youtube anaitwa Veronika bozeman
 
Hollywood waendelea kupigia debe ushoga ndio maana hata Moonlight waliipa tuzo eti ya the best kiss....kuangalia hizi ni stage mojawapo ya kuwa brainwashed
 
Haha, we angalia muv mambo ya ushoga waachie wao, huoni trumph keshaanza kuzuia ushoga jeshini,, just watch muv
 
Naomba kujua hizi nyimbo zilizotumika humu ndani ni zipo tayari recorded i.e naweza kudownload mp3 zake sehemu au...?

Kama jibu ni ndio naomba kujua jina la wimbo wa kwanza kwenye season 1 episode 1 unaitwaje na muimbaji ni nani wakuu.

Ikiwezekana si mbaya mkaniwekea hapa jukwaani wakuu. What is loooove, if u are not here with me. What is looove, if is not guarantee sina hakika kama niko sawa.

Kuna wimbo wa kibongo nikiuskia huwa kama napata hii ladha ndani yake sjui ni wa nani huu wimbo ni mwanamke mmoja hivi mistari inasema baby one day (one day) baby one day (one day) sjui kama niko sawa pia.

Mnisaidie huo wimbo wa kwenye empire please.

Thank You.
Ingia vidmate andika empire songs na pia usisahau kuandika unataka za season gani utazipata zote mabake mi nimezipata huko
 
Naomba kujua hizi nyimbo zilizotumika humu ndani ni zipo tayari recorded i.e naweza kudownload mp3 zake sehemu au...?

Kama jibu ni ndio naomba kujua jina la wimbo wa kwanza kwenye season 1 episode 1 unaitwaje na muimbaji ni nani wakuu.

Ikiwezekana si mbaya mkaniwekea hapa jukwaani wakuu. What is loooove, if u are not here with me. What is looove, if is not guarantee sina hakika kama niko sawa.

Kuna wimbo wa kibongo nikiuskia huwa kama napata hii ladha ndani yake sjui ni wa nani huu wimbo ni mwanamke mmoja hivi mistari inasema baby one day (one day) baby one day (one day) sjui kama niko sawa pia.

Mnisaidie huo wimbo wa kwenye empire please.

Thank You.

Writer(s): Timothy Z. Mosley, James David Washington, Daniel Jones, Veronika Bozeman
"What Is Love"

I would tell you that I love you tonight
But I know that I've got time on my side
Where you goin'? Why you leavin' so soon?
Is there somewhere else that's better for you?

What is love if you're not here with me?
What is love if it's not guaranteed?
What is love if it just ups and leaves?

What is love if you're not here no more?
What is love if you're not really sure?
What is love?
What is love?

Told myself I wouldn't cry when you're gone
But I know it's easier said than done
Look at me, look at me, choked up now
Got me choked up now
Try to tell you but it won't come out

What is love if you're not here with me?
What is love if it's not guaranteed?
What is love if it just ups and leaves?

What is love if you're not here no more?
What is love if you're not really sure?
What is love if it just ups and goes?

I can't live without you
I can't live without you
I can't live with you
I can't live with you
What goes around will come right back around,
You won't know 'til it hits you
We were supposed to be an empire
We were supposed to be an empire
We were supposed to be an empire

What is love if you're not here with me?
What is love if it's not guaranteed?
What is love if it just ups and leaves?

What is love?
What is love if you're not really sure?
What is love if it just ups?..

Kusikiliza ingia hapa Listen to Original Soundtrack from Season 1 of Empire - Various Artists - online music streaming
 
Back
Top Bottom