Series (Special thread)

Finally leo umeandika vitu vinavyoeleweka maana wewe jamaa unakuwaga mbishi na una attack watu sema leo uko fresh, well spoken

Sema kuweka vitu sawa sio The oval siiependi hapana naiona ya kawaida sana nothing special. Ni mtazamo wangu though IMDb ndio iko popular kwa ratings hizo nyingine sio sana, na hiyo hating ya blacks ipo wanatupaga ratings mbaya sana.

Kuna mtu ni white ass registered user wa IMDb akiona Tyler perry anatoa one star bila kuuliza kisa he/she is racist, japo kuna wengine wanatoa bad reviews anatoa na reasons unajua kabisa kaangalia na hajapenda so Generally yeah kuna both sides
Mimi siwagi mbishi sema unasoma then unabishana pasipo kuelewa nimeandika nini maana hayo yote nilioandika ni yaleyale ambayo nimeandika kwenye comments za nyuma sema kuna baadhi ya binadamu hapendi kuambiwa hiki unachoamini ni uongo au sio kweli kiuhalisia na kuhusu kuattack au kubishana na mtu kila mtu ningebishana nae humu kama kuna jamaa kaja kasema tv shows zake bora ni blacksails, GOT na Vikings akaomba zingine nikampa pasipo kumponda na hata nilizompa akizipenda au akaponda I don't care coz yeye ni yeye na mimi ni mimi.

Mengine ya ubaguzi ahsante kwa kusema ukweli na kuprove yanayoendelea nyuma ya pazia kwenye izo rate zenu
 
Nilijua tu kwa jinsi wanavyohairisha mara kwa mara, upigaji wa pesa kipindi cha corona na TV show yao pekee inayosubiriwa kwa hamu kubwa lazima waigawe mara mbili na sio mara moja kama walivyosema before 😀😀😃

Screenshot_20210730-083239.png
 
Wakuu,mbona kama Telegram iko slow sana?Yaani masaa 2 episode ya mb 200 bado haijamaliza!
Huwa ipo hivyo?
 
Ni Internet yako ipo slow
Mkuu wakati huo huo nimeenda kudownload file la GB moja sehemu nyingine,limeshuka chap!Hata youtube nastream vizuri bila shida!
Tatizo lipo Telegram,mzigo unaenda slow sana,inadownload kb 100 kwa sekunde 5 mpaka 10!
Halafu wakati mwingine inasimama kudownload mpaka nibofye tena!
 
Ilo tatizo kwako kwangu halitokei na wala sijawahi kutana nalo
 
Mkuu wakati huo huo nimeenda kudownload file la GB moja sehemu nyingine,limeshuka chap!Hata youtube nastream vizuri bila shida!
Tatizo lipo Telegram,mzigo unaenda slow sana,inadownload kb 100 kwa sekunde 5 mpaka 10!
Halafu wakati mwingine inasimama kudownload mpaka nibofye tena!
Ni internet. Huwa telegram kudownload movies ni faster Sana.
 
Knahusu nini hii mkuu maelezo kidogo kabla hatujashusha
Jamaa alikuwa ni mtu wa familia sana, ghafra mke wake anagongwa gari na jamaa aliyefanya tukio hilo anakimbia.. Mshikaji anaanza kumtafuta mhusika, wakati akiendelea kumtafuta mhusika wa tukio la ajari anakuja kugundua kuwa mke wake hakuwa anamfahamu vizuri, alikuwa ana issue nyingi sana chini ya capet...

Itazame hii tv show, hautajutia muda wako
 
Okk ngoja nidondoshe ep kadhaa kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom