Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 761
Mimi siwagi mbishi sema unasoma then unabishana pasipo kuelewa nimeandika nini maana hayo yote nilioandika ni yaleyale ambayo nimeandika kwenye comments za nyuma sema kuna baadhi ya binadamu hapendi kuambiwa hiki unachoamini ni uongo au sio kweli kiuhalisia na kuhusu kuattack au kubishana na mtu kila mtu ningebishana nae humu kama kuna jamaa kaja kasema tv shows zake bora ni blacksails, GOT na Vikings akaomba zingine nikampa pasipo kumponda na hata nilizompa akizipenda au akaponda I don't care coz yeye ni yeye na mimi ni mimi.Finally leo umeandika vitu vinavyoeleweka maana wewe jamaa unakuwaga mbishi na una attack watu sema leo uko fresh, well spoken
Sema kuweka vitu sawa sio The oval siiependi hapana naiona ya kawaida sana nothing special. Ni mtazamo wangu though IMDb ndio iko popular kwa ratings hizo nyingine sio sana, na hiyo hating ya blacks ipo wanatupaga ratings mbaya sana.
Kuna mtu ni white ass registered user wa IMDb akiona Tyler perry anatoa one star bila kuuliza kisa he/she is racist, japo kuna wengine wanatoa bad reviews anatoa na reasons unajua kabisa kaangalia na hajapenda so Generally yeah kuna both sides
Mengine ya ubaguzi ahsante kwa kusema ukweli na kuprove yanayoendelea nyuma ya pazia kwenye izo rate zenu