Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 761
Heshimu lists mzee na ndio hao wamekaa chini wakaona izo ni bora zina rate kubwa na ukitaka kuzitoa ina maana unakuja kwenye topics nyingine ya Genres maana humo kuna hadi animation. So tunaheshimu IMdb mzee users wao wapo excellent that why hata wakiona watu twitter wanafanya harakati fulani na wao wanaongeza au kupunguza rate ya series au movies π€£π€£π€£IMDB wamehusisha na documentaries, ukitoa documentaries GOT ipo katika top 10, mbona unakaza fuvu mzee.
ππππ
Money Heist yako unayoipigania ukiondoa hizo documentaries inakuwa wapi?