George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,039
- 4,926
Upo sahihi kiasi fulani. Ila kwa mtu ambaye hapendi kupoteza muda na MBs, reviews za IMDB zinasaidia sana.Reviews za IMDB sizifuatilii mimi nafikiri ni jinsi mtu anapenda nini maana hata wewe ukiweka list za series zako kali watu wataziponda pia.So tunarudi palepale kuna wanaocompare series, wanaongalia story na wengine wanataka vitu fulani viwepo kama havipo utasikia series imepoa au ya kawaida